TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Ina shangaza na kuumiza sanaUtu tumeuacha Cuba.
jichanganye uone
Kwa upande wangu mimi sio rahisi kunifikia kirahisi hivyoUtu tumeuacha Cuba.
jichanganye uone
Kwa upande wangu mimi sio rahisi kunifikia kirahisi hivyo
Inshu si kumzuia polisi Bali vibali na vithibitisho vyakumtambulisha vipo kwel??Ishu ni kwamba watu wanajua ni polisi,sasa unaweza kumzuia polisi kufanya kazi yake?
Maigizo yamekua mengi watu wanaset location wanaenda kuigiza sasa unaweza ukaingilia kumbe unaharibu kazi za watu ushaelewa ndio hicho watu wamejifunza, hawa wanaopita kufanya maigizo mitaani ndio wamefanya jambo hilo lionekane kawaida kabisaNime angalia ile clip ya bwana Tarimo anavyo buruzana na wale vibaka kuna watu wanapita tu kama hawaoni na isitoshe gari iliyotumiaka ni binafsi na wanaojifanya polisi hawana sare na wakina mama wanaangalia tu badala yakupiga kelele,ili hali siku hizi kuna utekaji,kweli huu ndio utanzania wetu?
Hili ni tatizo la serikali,ingetakiwa umma uambiwe kuanzia sasa hivi polisi wakija kumkamata mtu kwanza wawe na vitambulisho,nakwambia ingekuwa hivyo utekaji ungepungua,tatizo hajulikani nani ni tanpol na nani wasio julikanaInshu si kumzuia polisi Bali vibali na vithibitisho vyakumtambulisha vipo kwel??
Oya weee sababu ni maigizo maigizo maigizo mitaani hawa wanaopita wanaigiza igiza maigizo kwa hio wengi walidhani wanaigiza ushaelewa?Imenifikirisha sana! Vaa viatu vya yule mtekwaji... unapiga kelele hakuna hata wa kukusaidia.
Yaani dah!,Mungu kamuepusha asingekuwa na nguvu nakuwashinda ndio basi,kuna mwamba anapita anachati tu,wamama wameshika na viuonoIle clip nimeiyona kila nikiskia jamaa analalamika wamsaidie naskia kama nataka kulia 😪inahuzunisha kwakweli basi tu
Walifikiri movieYaani dah!,Mungu kamuepusha asingekuwa na nguvu nakuwashinda ndio basi,kuna mwamba anapita anachati tu,wamama wameshika na viuono
Siwaelewi,jamaa analia kama mtoto kweli washindwe kugundua ?watu wamekuwa mafala sanaWalifikiri movie
Polisi ianze na wanaofanya maigizo au hujui kuna vikundi vinavamia mtaa vinaanza kuigiza tu matukio?Ile clip nimeiyona kila nikiskia jamaa analalamika wamsaidie naskia kama nataka kulia 😪inahuzunisha kwakweli basi tu