Ule utu baina yetu sijui umeenda wapi?

Yaani dah! ,una mawazo kama yangu though mimi nina natural protection,ila ka mguu lazima nikapate,,jamaa kapambana sana kwa kweli,kuwashinda watu watatu na wamemfunga pingu,inatia hudhuni,mimi sikuwa mtandaoni tangu juzi,kuingia nakutana na hiyo clip,nikafadhahika sana.
 
Malipo ni hapa hapa,I bet this mama is more brutal and harsh than Magu,as he does things silently.
 
Kwanza mimi naombea iwe hivyo,watu waamke kila maeneo,akijifanya yeye polisi na hana utambulisho apigwe mpaka kufa
 
Ile clip nimeiyona kila nikiskia jamaa analalamika wamsaidie naskia kama nataka kulia 😪inahuzunisha kwakweli basi tu
Ukiangalia wasela wanapita wanachati hawana hata habari,nchi hii,imekuwa na watu misili ya wanyama
 
Nikupuuze tu kwasababu sidhani kama hata una uwelewa wa nini maana ya utaifa.
I might have made a mistake / lost in translation what I meant ni U-Taifa na not necessarily Utaifa as in Nationalism (which to me is detrimental to other nations wakati sisi ni inclusive hatubagui hata raia wa nje / tofauti na mfano kina TRUMP)...., now in that token turudi tulipotoka na nilichosema which I Still stand by..., Kwangu mimi the main ingredient ya Taifa ni wananchi.., na kwa Tanzania tuna undugu ingawa Serikali, wanasiasa, wachumia matumbo ndio wanalitumbukiza Taifa pasipofaa na tusipoangalia hizi divide and rule zitatuondelea the only thing we have as a Nation.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…