NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine.
Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama mayele hakuna nasema Tena hakuna.
Alitokea kijana mmoja kutoka ukoloni fc alikaza msuli siku mbili tatu akawafanya wanasimba wakaanza kuvimba mtaani nakuomba nyimbo za mapambio kuwa hakuna Kama Moses phiri hakuna Kama generally.
Makolo walipiga salute mtaani utadhani wameoka depo kumbe ilikua ni nguvu ya soda kutoka kwa Moses phiri.
Kijana Moto umekata huku the goal machine mayele akiendelea kuwasha Moto kwa kasi ya 5G huku akimpigia simu Moses phiri hashiki Wala kupokea so simu ya Moses phiri inaiita tu haipokelewi.
Makolo fc furaha yao saivi imegeukia kwa CHAMA, saivi wanaimba nyimbo za kuongoza asist huku nyimbo ya Moses phiri na saluti zake zikitupwa mbali na hawataki kusikia habari za the goal machine fiston kalala mayele.