Ule wimbo wa Nani mkali Kati ya Fiston Kalala Mayele na Moses Phiri hatimae siusikii

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine.

Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama mayele hakuna nasema Tena hakuna.

Alitokea kijana mmoja kutoka ukoloni fc alikaza msuli siku mbili tatu akawafanya wanasimba wakaanza kuvimba mtaani nakuomba nyimbo za mapambio kuwa hakuna Kama Moses phiri hakuna Kama generally.
Makolo walipiga salute mtaani utadhani wameoka depo kumbe ilikua ni nguvu ya soda kutoka kwa Moses phiri.

Kijana Moto umekata huku the goal machine mayele akiendelea kuwasha Moto kwa kasi ya 5G huku akimpigia simu Moses phiri hashiki Wala kupokea so simu ya Moses phiri inaiita tu haipokelewi.

Makolo fc furaha yao saivi imegeukia kwa CHAMA, saivi wanaimba nyimbo za kuongoza asist huku nyimbo ya Moses phiri na saluti zake zikitupwa mbali na hawataki kusikia habari za the goal machine fiston kalala mayele.

1671793050976.jpg
 
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine.

Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama mayele hakuna nasema Tena hakuna.

Alitokea kijana mmoja kutoka ukoloni fc alikaza msuli siku mbili tatu akawafanya wanasimba wakaanza kuvimba mtaani nakuomba nyimbo za mapambio kuwa hakuna Kama Moses phiri hakuna Kama generally.
Makolo walipiga salute mtaani utadhani wameoka depo kumbe ilikua ni nguvu ya soda kutoka kwa Moses phiri.

Kijana Moto umekata huku the goal machine mayele akiendelea kuwasha Moto kwa kasi ya 5G huku akimpigia simu Moses phiri hashiki Wala kupokea so simu ya Moses phiri inaiita tu haipokelewi.

Makolo fc furaha yao saivi imegeukia kwa CHAMA, saivi wanaimba nyimbo za kuongoza asist huku nyimbo ya Moses phiri na saluti zake zikitupwa mbali na hawataki kusikia habari za the goal machine fiston kalala mayele.View attachment 2455863
Mmemaliza kazi yenu,mnaanza kutamba kwa vile mnajua hatacheza tena mechi nyingi?

Mna bahati mliowalipa kumvunja Phiri wamefanikiwa.Sasa mmeanza kuja kutamba hapa.Huu ni ushenzi sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kuamini kiungo mshambuliaji Phiri alikua hatari kiasi cha kuona hakuna namna ya kumzuia zaidi ya kumuumiza..
 
Mmemaliza kazi yenu,mnaanza kutamba kwa vile mnajua hatacheza tena mechi nyingi?

Mna bahati mliowalipa kumvunja Phiri wamefanikiwa.Sasa mmeanza kuja kutamba hapa.Huu ni ushenzi sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Rafu ya inonga kwa sureboy uliiongelea wapi??
Hatua gani zilichukuliwa??
Hayo Mambo ya rafu Kuna mchezaji wa yanga kamvunja huyo pili wenu??
Mbona nyiyi mliandaaa mikakati ya mayele kupotea lakini hamkufanikiwa na TUMEKAA kimya tu
Huyo pili Hana kabisa uwezo wakuchuana na mayele
 
Tatizo ninyi wake zetu huwa hamuangalii mchezo mnasimuliwa matokeo tu ndio maana si ajabu hujui nini kilikuwa kinaendelea

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
We dogo mshamba tu ndo mana unakimbia hoja unaleta ujinga.
Nimeanza kujua,kucheza na kuangalia mpira kabla yako ko nakuona boya tu kila nyuzi kujilalamisha .
 
Sitaki kuamini kiungo mshambuliaji phiri alikua hatari kiasi cha kuona hakuna namna ya kumzuia zaidi ya kumuumiza..
Kiungo mshambuliaji ndiyo Nini kwani alipokua Simba alikua Anacheza namba ngapi
Acha kujifichia kwenye kivuli kisichokua na kichwa
 
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine.

Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama mayele hakuna nasema Tena hakuna.

Alitokea kijana mmoja kutoka ukoloni fc alikaza msuli siku mbili tatu akawafanya wanasimba wakaanza kuvimba mtaani nakuomba nyimbo za mapambio kuwa hakuna Kama Moses phiri hakuna Kama generally.
Makolo walipiga salute mtaani utadhani wameoka depo kumbe ilikua ni nguvu ya soda kutoka kwa Moses phiri.

Kijana Moto umekata huku the goal machine mayele akiendelea kuwasha Moto kwa kasi ya 5G huku akimpigia simu Moses phiri hashiki Wala kupokea so simu ya Moses phiri inaiita tu haipokelewi.

Makolo fc furaha yao saivi imegeukia kwa CHAMA, saivi wanaimba nyimbo za kuongoza asist huku nyimbo ya Moses phiri na saluti zake zikitupwa mbali na hawataki kusikia habari za the goal machine fiston kalala mayele.View attachment 2455863
Hivi ile simu aliyopigiwa Phiri amepokea?
 
Back
Top Bottom