Ule wimbo wa Nani mkali Kati ya Fiston Kalala Mayele na Moses Phiri hatimae siusikii

Usijitoe ufahamu, MESSI, RONALDO, RONALDINHO, KAKA, ZIDANE hao wote ni VINGO WASHAMBULIAJI NA WALIONGOZA KWA MAGOLI MISIMU MINGI TU.
Nitajie misimu ambayo Rhonadinho, Kaka na zidane waliongoza kwa magoli?
 
Ukilinganishwa na Fiston Mayele, lazima upotee tu. Hata Kibu Dennis muda huu anapumulia mashine, mara baada tu ya kulinganishwa na huyo mwamba.

George Mpore mpaka muda huu hana timu! Kisa tu alichukua kiatu cha ufungani bora msimu uliopita kwa msaada wa waamuzi wa mchongo. Maana kuna wakatibMayele alinyimwa magoli ya wazi, ili George Mpore awe mfungaji bora!!
 
Bado Phiri anabaki kuwa mkali ndio maana anakamiwa sana tena kwa kujeruhiwa. Pili huwezi linganisha mtu ambaye ni majeruhi na anaye endelea kucheza.
 
Kumbuka Phiri sio straika kama Mayele lakini alimfikia idadi ya magoli. Na kati ya Mayele na Phiri unajua ni nani anayewindwa zaidi hata kufanyiwa rafu za wazi wazi na za hatari
 
Kabla yakuumia kacheza mechi ngapi kafunga magoli mangapi???
Hata Ile mechi ya geita mliyonunua hakufunga mje mshupaze mishipa ya shingo kuja kumshindanisha na mayele
Mpaka mzunguko wa kwanza wa ligi unaisha wote walicheza jumla ya mechi sawa na wote walikuwa na magoli 10(Phiri na Mayele)
 
Kumbuka Phiri sio straika kama Mayele lakini alimfikia idadi ya magoli. Na kati ya Mayele na Phiri unajua ni nani anayewindwa zaidi hata kufanyiwa rafu za wazi wazi na za hatari
Rafu sio kipengele yeye acheze vibaya wamwangalie tu
 
Acha kumfananisha Mchezaji mkubwa General Moses Philli na UPUUZI basi,nakuheshimu ujue
 
Mwisho wa siku anapewa ng'ombe
 
Usijitoe ufahamu, MESSI, RONALDO, RONALDINHO, KAKA, ZIDANE hao wote ni VINGO WASHAMBULIAJI NA WALIONGOZA KWA MAGOLI MISIMU MINGI TU.
Wewe huna ulijualo katika soka kaa kimya umajiaibisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaja msimu ambao Ronardinho,Zidane na Kaka wamekuwa top scorer ktk ligi walizocheza nakuahidi nitakusaidia kuutoa huo mwiko hapo nyuma ili uwe huru kifikra...
 
2006/7 KAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…