Ule wimbo wa Nani mkali Kati ya Fiston Kalala Mayele na Moses Phiri hatimae siusikii

Ule wimbo wa Nani mkali Kati ya Fiston Kalala Mayele na Moses Phiri hatimae siusikii

Usijitoe ufahamu, MESSI, RONALDO, RONALDINHO, KAKA, ZIDANE hao wote ni VINGO WASHAMBULIAJI NA WALIONGOZA KWA MAGOLI MISIMU MINGI TU.
Nitajie misimu ambayo Rhonadinho, Kaka na zidane waliongoza kwa magoli?
 
Ukilinganishwa na Fiston Mayele, lazima upotee tu. Hata Kibu Dennis muda huu anapumulia mashine, mara baada tu ya kulinganishwa na huyo mwamba.

George Mpore mpaka muda huu hana timu! Kisa tu alichukua kiatu cha ufungani bora msimu uliopita kwa msaada wa waamuzi wa mchongo. Maana kuna wakatibMayele alinyimwa magoli ya wazi, ili George Mpore awe mfungaji bora!!
 
Bado Phiri anabaki kuwa mkali ndio maana anakamiwa sana tena kwa kujeruhiwa. Pili huwezi linganisha mtu ambaye ni majeruhi na anaye endelea kucheza.
 
Kumbuka Phiri sio straika kama Mayele lakini alimfikia idadi ya magoli. Na kati ya Mayele na Phiri unajua ni nani anayewindwa zaidi hata kufanyiwa rafu za wazi wazi na za hatari
 
Kabla yakuumia kacheza mechi ngapi kafunga magoli mangapi???
Hata Ile mechi ya geita mliyonunua hakufunga mje mshupaze mishipa ya shingo kuja kumshindanisha na mayele
Mpaka mzunguko wa kwanza wa ligi unaisha wote walicheza jumla ya mechi sawa na wote walikuwa na magoli 10(Phiri na Mayele)
 
Kumbuka Phiri sio straika kama Mayele lakini alimfikia idadi ya magoli. Na kati ya Mayele na Phiri unajua ni nani anayewindwa zaidi hata kufanyiwa rafu za wazi wazi na za hatari
Rafu sio kipengele yeye acheze vibaya wamwangalie tu
 
Acha kumfananisha Mchezaji mkubwa General Moses Philli na UPUUZI basi,nakuheshimu ujue
 
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine.

Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama mayele hakuna nasema Tena hakuna.

Alitokea kijana mmoja kutoka ukoloni fc alikaza msuli siku mbili tatu akawafanya wanasimba wakaanza kuvimba mtaani nakuomba nyimbo za mapambio kuwa hakuna Kama Moses phiri hakuna Kama generally.
Makolo walipiga salute mtaani utadhani wameoka depo kumbe ilikua ni nguvu ya soda kutoka kwa Moses phiri.

Kijana Moto umekata huku the goal machine mayele akiendelea kuwasha Moto kwa kasi ya 5G huku akimpigia simu Moses phiri hashiki Wala kupokea so simu ya Moses phiri inaiita tu haipokelewi.

Makolo fc furaha yao saivi imegeukia kwa CHAMA, saivi wanaimba nyimbo za kuongoza asist huku nyimbo ya Moses phiri na saluti zake zikitupwa mbali na hawataki kusikia habari za the goal machine fiston kalala mayele.View attachment 2455863
Mwisho wa siku anapewa ng'ombe
 
Usijitoe ufahamu, MESSI, RONALDO, RONALDINHO, KAKA, ZIDANE hao wote ni VINGO WASHAMBULIAJI NA WALIONGOZA KWA MAGOLI MISIMU MINGI TU.
Wewe huna ulijualo katika soka kaa kimya umajiaibisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaja msimu ambao Ronardinho,Zidane na Kaka wamekuwa top scorer ktk ligi walizocheza nakuahidi nitakusaidia kuutoa huo mwiko hapo nyuma ili uwe huru kifikra...
images%20(66).jpg
 
Wewe huna ulijualo katika soka kaa kimya umajiaibisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaja msimu ambao Ronardinho,Zidane na Kaka wamekuwa top scorer ktk ligi walizocheza nakuahidi nitakusaidia kuutoa huo mwiko hapo nyuma ili uwe huru kifikra...View attachment 2459904
2006/7 KAKA
 
Back
Top Bottom