Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha.
Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha kama Ulega aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo, akiwa anatuliza hali baada ya hali ya kurushiana maneno iliyojitokeza baina ya Makonda na Gamba
Pia, Soma:
- Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha
- Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa