Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha.
Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha kama Ulega aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo, akiwa anatuliza hali baada ya hali ya kurushiana maneno iliyojitokeza baina ya Makonda na Gamba
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha.
Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha kama Ulega aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo, akiwa anatuliza hali baada ya hali ya kurushiana maneno iliyojitokeza baina ya Makonda na Gamba View attachment 3195105
Hahaha Makonda anataka credit ya kila wafanyacho wenzake, yeye anajiita rais wa mkoa wa Arusha, hataki kusikia kuna mtu anazungumza chochote, yeye ndiye mwenye sauti ya mwisho.
Matatizo ya mkoa anayafahamu yeye tu, wengine wote ni vilaza.
Akiungana na Lisu itapendeza, watanyang'anyana mic, kwa jinsi wapendavyo media.