Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hatua hiyo imelenga kutatua kero za familia na siyo kero za wananchiWakati Waziri wa Uchukuzi Abdallah Ulega na Mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wamechukua fomu ya kuomba kuwania Ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani. wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi au ni ubinafsi wa madaraka.
Eee hata kwenye maji, huwa wanakutana kwenye idd.Inamaana 10% za barabara zilikusanywa kugharamia ushindi?
Inasemekana viongozi wote wa ccm huko ni ndugu zakeWakati Waziri wa Uchukuzi Abdallah Ulega na Mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wamechukua fomu ya kuomba kuwania Ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani. wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi au ni ubinafsi wa madaraka.
Mimi na Netanyau ni wapumbavu haswa.Watawala wameshaona watanzania ni wapumbavu wanataka familia zao zipige pesa haswa
Jana mke wa Mchengelwa nae alichukua form ya ubunge..Jimbo liongozwe na familia moja, na wapiga kura wawapitishe wote! Huu ni ufala, jimbo si mali ya familia na haliongozwi kifalme, kisultani wala kitemi, kuna wengine wasio na unasaba wanafaa kuchaguliwa pia, piga chini mmoja au wote
Ningekuwa na mamlaka ningemtimua uwaziri kabla hakujakucha, watu wa pwani wana tamaa sana! angalia Kikwete, mkewe mbunge mwanae Waziri, yeye mwenyewe kagoma kustaafu!Mwafrica ni ngumu Sana kupata maendeleo
Watu wa pwani ni matatizo sanaNingekuwa na mamlaka ningemtimua uwaziri kabla hakujakucha, watu wa pwani wana tamaa sana! angalia Kikwete, mkewe mbunge mwanae Waziri, yeye mwenyewe kagoma kustaafu!
Kabisa yaaniWatu wa pwani ni matatizo sana
Jimbo liongozwe na familia moja, na wapiga kura wawapitishe wote! Huu ni ufala, jimbo si mali ya familia na haliongozwi kifalme, kisultani wala kitemi, kuna wengine wasio na unasaba wanafaa kuchaguliwa pia, piga chini mmoja au wote
Kweli bhana!!..Mnashangaa nini?
..Mbona hivi tunavyozungumza, mtu, na mkwe wake, wanaongoza wizara moja?
..Wizara ya Tamisemi iko ktk ofisi ya Raisi.
..Hivyo kikatiba, Raisi ndiye waziri wa Tamisemi.
..Na waziri wa nchi Tamisemi ni msaidizi wake.
..Mama Samia, na Mchengerwa.