Ulega na mkewe wachukua form za kuwania ubunge

Ulega na mkewe wachukua form za kuwania ubunge

Yaan Barabara ya kutoka mbagala,kongowe,toangoma,vikindu Hadi kisenvule foleni ni kubwa na ni mbovu pia.
Hio pia ni sehemu ya Jimbo lake lakini hamna chochote alichofanya wakati yeye ndie waziri wa ujenzi.
Sisi watu wa kusini tunapata shida sana tukitokea Dar es salaam. Ameshindwa hata kujifunza kwa jpm alipokua wazir wa ujenzi alijenga barabara nzuri huko kwao.
 
Watu wa Mkuranga wakiwapitiaha na kuingia kwenye mtanange watakua wa hivyo sana.
 
Back
Top Bottom