Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow africa
Kuna watu ni walemavu lakini hawajijui tu lakini ndio wanalinga hatar
Mtu mwenye mwanya: Huyu ni mlemavu wa meno meno yameshindwa ungana ndio maana kuna sehemu ipo wazi huyu pia ni mlemavu wa meno au ufizi.
Mtu mwenye dimpozi: Huyu pia ni mlemavu wa mashavu akicheka mashavu yanabonyea wakati si kawaida kwa binadamu huyu ni mlemavu wa mashavu
Watu wenye kithembe: Pia hawa ni walemavu wa ulimi.
Taja wengine hapa wajijue ili waache kulinga uko mtaani 😂😂😂