Ulemavu ambao watu wanao lakini hawajui kama wao pia ni walemavu

Ulemavu ambao watu wanao lakini hawajui kama wao pia ni walemavu

Hellow africa

Kuna watu ni walemavu lakini hawajijui tu lakini ndio wanalinga hatar

Mtu mwenye mwanya : huyu ni mlemavu wa meno meno yameshindwa ungana ndio maana kuna sehemu ipo wazi huyu pia ni mlemavu wa meno au ufizi

Mtu mwenye dimpozi: huyu pia ni mlemavu wa mashavu akicheka mashavu yanabonyea wakati si kawaida kwa binadamu huyu ni mlemavu wa mashavu

Watu wenye kithembe: pia hawa ni walemavu wa urimi

Taja wengine hapa wajijue ili waache kulinga uko mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wenye ma Hips pia ni walemavu wa viungo [emoji2][emoji2][emoji2]
 
ha..ha..ha..najaribu kufikiria kabinti kakike keusi (age25-30) flani karefu kenye uso wa yai kamevaa nguo zake za usaili sketi na blauzi nywele zake kabana Ji mong kikapitishwa kibanio akismile dipoz zinavyompendeza halafu unaniambia mlemavu! acha kabisa huu wivu wako tu!
Kabinti kakike 🙆🙆🙆🙆
 
Kuna wale ana gape katikati ya mapaja kwa juu chini ya k akisimama mguu sawa pale kati hapashikani nao ni ulemavu?
 
Back
Top Bottom