Hellow africa
Kuna watu ni walemavu lakini hawajijui tu lakini ndio wanalinga hatar
Mtu mwenye mwanya : huyu ni mlemavu wa meno meno yameshindwa ungana ndio maana kuna sehemu ipo wazi huyu pia ni mlemavu wa meno au ufizi
Mtu mwenye dimpozi: huyu pia ni mlemavu wa mashavu akicheka mashavu yanabonyea wakati si kawaida kwa binadamu huyu ni mlemavu wa mashavu
Watu wenye kithembe: pia hawa ni walemavu wa urimi
Taja wengine hapa wajijue ili waache kulinga uko mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]