ulemavu

ulemavu

aisherjs

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
28
Reaction score
7
Eti jamani ulemavu wa viungo hua unarithi au kuambukiza? Yaani kama mama alikua mlemavu kunauwezekano na mtoto nae akazaliwa akiwa mlemavu?
 
Usiogope Ulemevu unaweza kurithi kama wote wazazi Watakuwa na heredity sawa za ulemevu bt kama mzazini mmoja anayo bt mwingne hana uwezekano wa mtoto kurithi ni ngumu bt tambua ulemevu hata ukubwani unaweza kuupata mfano mim mwenyewe ni mlemevu bt wazazi wangu hawana ulemavu wowote na sababu zinazochangia ulemevu zipo nyongi tu inaweza kuwa lishe, ajali, streess n.k
 
Usiogope Ulemevu unaweza kurithi kama wote wazazi Watakuwa na heredity sawa za ulemevu bt kama mzazini mmoja anayo bt mwingne hana uwezekano wa mtoto kurithi ni ngumu bt tambua ulemevu hata ukubwani unaweza kuupata mfano mim mwenyewe ni mlemevu bt wazazi wangu hawana ulemavu wowote na sababu zinazochangia ulemevu zipo nyongi tu inaweza kuwa lishe,ajali, streess n.k
 
thaanx mwaya kuogopa lazima ndugu japo hujafa hujaumbika
 
Usiogope Ulemevu unaweza kurithi kama wote wazazi Watakuwa na heredity sawa za ulemevu bt kama mzazini mmoja anayo bt mwingne hana uwezekano wa mtoto kurithi ni ngumu bt tambua ulemevu hata ukubwani unaweza kuupata mfano mim mwenyewe ni mlemevu bt wazazi wangu hawana ulemavu wowote na sababu zinazochangia ulemevu zipo nyongi tu inaweza kuwa lishe,ajali, streess n.k
By da way ulemavu sio ugonjwa right? So chill out my dear
 
Back
Top Bottom