Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Ninaposema vijana wazinzi na walevi mtakwisha simaanishi kuwa mtaiacha dunia na kutuacha sisi ambao hatufanyi uzinzi na hatulewi. La hasha, namaanisha nguvu kazi inapotea, vijana wanakufa wakiwa wabichi, heshima na utu wa vijana umeondoka katika jamii kwasababu ya pombe na uzinzi.
Kivipi ulevi na uzinzi vinapekekea vifo vya haraka( premature death)?
- Pombe na uzinzi hupelekea
1. Magomvi yasiyo na msingi
2. Ajali za uzembe
3. Kujeruhiwa na kuuwawa na vibaka, nilishuhudia mkaka mmoja wilayani kwetu alibakwa kwa mparange na wahuni mpaka kifo baada ya kumpiga search na kumkuta hana shekeli usiku wa manane.
4. Kupata HIV na magonjwa mengine ya ngono kirahisi due to careless
5.Msongo wa mawazo na magonjwa kama SUKARI , B.P .
6. Kurogwa na wazee kwasababu ya maneno machafu baada ya kupata kilevi.
7. Umaskini na ufukara . Maskini ni rahisi kufa kwasababu huishi mazingira magumu na kushindwa kumudu matibabu.