Tajiri Mnyenyekevu
Member
- Jan 17, 2013
- 8
- 18
Habari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa nakusababisha mipasuko na kutotoelewana nakusababisha kubadilika kwa wenza wetu kutokana na tabia zetu sisi wanaumee
Basi tujitahid kupunguza au ikipendeza zaid nikujaribu kuiacha kabisa ili tujenge ndoa zetu
Basi tujitahid kupunguza au ikipendeza zaid nikujaribu kuiacha kabisa ili tujenge ndoa zetu