min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
KulaTabia yoyote MBAYA ikipitiliza ni kero
Pombe
Kubet
Uhuni wa wanawake/wanaume
Bangi
Kusali kwa makelele mwehu
Kufuga kitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KulaTabia yoyote MBAYA ikipitiliza ni kero
Pombe
Kubet
Uhuni wa wanawake/wanaume
Bangi
Pengine limekutokea wewe ukajua ndio sababu kubwa. Kama huna takwimu basi haupo sahihiHabari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa nakusababisha mipasuko na kutotoelewana nakusababisha kubadilika kwa wenza wetu kutokana na tabia zetu sisi wanaumee
Basi tujitahid kupunguza au ikipendeza zaid nikujaribu kuiacha kabisa ili tujenge ndoa zetp
Kwahiyo tunatakiwa tuwe na tabia mbaya isipitilize?Tabia yoyote MBAYA ikipitiliza ni kero
Pombe
Kubet
Uhuni wa wanawake/wanaume
Bangi
Kwahiyo tunatakiwa tuwe na tabia mbaya isipitilize?
Kitambi kukifuga ni upuuzi sio tabia mbaya tuKula
Kusali kwa makelele mwehu
Kufuga kitambi
Kila kitu wanasingizia pombe , pombe ipo toka maelfu ya miaka, wafalme na wakuu wameitumia toka karne na karne leo mmatumbi mmoja aje aisimange et🤔Minaona....
Uaminifu ndio tatizo kubwa, ppmbe mnaionea bure tu...😑
Kunywa pombe hazitavunjikaMi ndoa zangu mbona ni usiku pakikucha imevunjiaka! Na wala situmii kilevi?? Nakwama wapi et
Kwani Diamond PlatinumZ ni mlevi?Habari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa nakusababisha mipasuko na kutotoelewana nakusababisha kubadilika kwa wenza wetu kutokana na tabia zetu sisi wanaumee
Basi tujitahid kupunguza au ikipendeza zaid nikujaribu kuiacha kabisa ili tujenge ndoa zetu
Dah! Kunywa pombe sio tabia mbaya banaTabia yoyote MBAYA ikipitiliza ni kero
Pombe
Kubet
Uhuni wa wanawake/wanaume
Bangi
BadoHabari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa nakusababisha mipasuko na kutotoelewana nakusababisha kubadilika kwa wenza wetu kutokana na tabia zetu sisi wanaumee
Basi tujitahid kupunguza au ikipendeza zaid nikujaribu kuiacha kabisa ili tujenge ndoa zetu
Kwani tajiri namba moja duniani mzee wa DOGE ya Trump, Elon Musk na msaidizi wake kwa utajiri Jeff Bezos ni walevi?Habari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa nakusababisha mipasuko na kutotoelewana nakusababisha kubadilika kwa wenza wetu kutokana na tabia zetu sisi wanaumee
Basi tujitahid kupunguza au ikipendeza zaid nikujaribu kuiacha kabisa ili tujenge ndoa zetu