Kweli pombe mbaya sana....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...
....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!
Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhamibi kubwa sana leo ..
AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.
Pole si ungeamka tu ukasinzie kanisani mbona mizee mingi tu leo ilikuwa inasinzia ila wamo ibadani, huwezi kujua unaweza pata neno ukaacha pombe. na hii holiday watu ni mirija pipani tu
Kweli church tunaenda kwa mengi, yaani baada ya kusikiliza neno la uzima, wee unaangalia wenzio wanavyosinzia! Heri yangu sijaenda!!!
Wengi wanaenda kuonyesha mitindo ya nywele na nguo..madini shingoni..gari mpya..kumchora fulani..kupumzika..kuonekana nao ni waumini..
....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...
....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!
Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhamibi kubwa sana leo ..
AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.
Mmmmh . . . .
Na wewe Elli!!!!???? kwani ukienda church una asume uko peke yako wala huangalii pembeni? hilo akukatalia la sivyo mchungaji nae angekuwa hasemi watu msilale kanisani cause hakuna kuangalia watu ni kusali tu. kawaida kuangalia vitu kama hivo kanisaniKweli church tunaenda kwa mengi, yaani baada ya kusikiliza neno la uzima, wee unaangalia wenzio wanavyosinzia! Heri yangu sijaenda!!!
Pole mkuu yaani hii week end ni noma mie mwenyewe hapa chicha ila nimeenda kanisani na neno limenibariki sana pia mwimbo huu umenifurahisha
Mle kaburiiini
Yeeeesu Mwokoooozi
Alilazwa Mleeee
Bwaaaana Wanguuuu
Bwana amefufukaaaa
Kifo kimeshindwa kabisaaaaa
Gizani mle alitoka mle
Sasa atawala Yuko Mbinguniiii
Yu haiiii Yu haiiii
Bwana Yesu Yu haiii
Hapo chacha
Mkuu mpaka hangover ina maana ulikunywa zaidi ya kreti 2???
Pole mkuu yaani hii week end ni noma mie mwenyewe hapa chicha ila nimeenda kanisani na neno limenibariki sana pia mwimbo huu umenifurahisha
Mle kaburiiini
Yeeeesu Mwokoooozi
Alilazwa Mleeee
Bwaaaana Wanguuuu
Bwana amefufukaaaa
Kifo kimeshindwa kabisaaaaa
Gizani mle alitoka mle
Sasa atawala Yuko Mbinguniiii
Yu haiiii Yu haiiii
Bwana Yesu Yu haiii
Hapo chacha
Unajitosa hivohivo tu siku ipo roho mtakatifu atakushukia tuYaani yesterday ya jana nimetandika kiasi chake, pombe za mtaani unashindwa kuaga mabest ni mlundikaono tupu wa chupa.
Nimebarikiwa na mistari ya nyimbo za Mungu. Church bhana wengi tunaenda uwakilishi tupu wengi na ma hangover pengine tunapigilia viungo mdomoni (ndizi, mdalasini, vitunguu swaumu, big G nk)...ila ulevi noma, unaweza kukufanya ukose hata attention kwenye neno la Mungu, ukaona mahubiri ni marefu
....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...
....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!
Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhamibi kubwa sana leo ..
AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.
Wengi wanaenda kuonyesha mitindo ya nywele na nguo..madini shingoni..gari mpya..kumchora fulani..kupumzika..kuonekana nao ni waumini..
Da Lizzy kijijin kwetu hakuna salun,ila mke wa diwan naona alilala mjini maana nywele zake kama za watu tuwaonao kwenye tviii,alipokuja kanisan!!!
mbadala wake huwa ni balaa tupuDah! Sisi tunaokunywa FANTA ORANGE tuko pembeni.