Ulevi noma.....

Ulevi noma.....

Pombe nazotundika week end hii ni hatari, vladmir kiboko
 
Da Lizzy kijijin kwetu hakuna salun,ila mke wa diwan naona alilala mjini maana nywele zake kama za watu tuwaonao kwenye tviii,alipokuja kanisan!!!

Mambo ya vijijini acha kabsa, unamkuta mtanzania ndani ya maeneo kama church ya kutokea akiwa na T-shit ya kampeni za uchaguzi wa mwaka 2005 (Chagua Kikwete) au T-shiti ya Maazimisho ya Nane Nane -2006.(ndo sehemu ya maisha) Thanks Mchina ametukomboa kwa vivazi na mamboz kama hayo ya "mapouda".
 
Dah! Sisi tunaokunywa FANTA ORANGE tuko pembeni.

Wala usichangie ndugu yangu tuko wooote .Pombe ni sumu ya Heshima, Ndoa na Maendeleo pia ni gari linalosafirisha abiria toka duniani kwenda kuzimu kwenye ziwa la moto wa kiberiti
 
Back
Top Bottom