Duka lenyewe lipo kipleft msimbaziHahahaha!Na suti yake ya dukani ehh?
Da Lizzy kijijin kwetu hakuna salun,ila mke wa diwan naona alilala mjini maana nywele zake kama za watu tuwaonao kwenye tviii,alipokuja kanisan!!!
Dah! Sisi tunaokunywa FANTA ORANGE tuko pembeni.