GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti.
Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo.
Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie Siku hizi mnapenda Kutatua Watu Marinda? Nani kawafundisha Dhambi hii Tamu?
Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo.
Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie Siku hizi mnapenda Kutatua Watu Marinda? Nani kawafundisha Dhambi hii Tamu?