GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je na yule RC?Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti.
Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo.
Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie Siku hizi mnapenda Kutatua Watu Marinda? Nani kawafundisha Dhambi hii Tamu?
Kuna kampeni ya kuchafuana hapaSasa walevi wanatoa wapi nguvu za kubaka na kulawiti?
Swala lakulawiti limekua janga kwa Taifa letu juzi tumewabana wanafunzi watatu ambao ni Drs la 6,3 na 4 wakiwa wanafanyiana huo mchezo baada ya kuwabana kila mmoja amesema kuwa amefundishwa na kaka ake kila ikifika usiku wakati wakulala lazima wafanye huo mchezo.Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti.
Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo.
Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie Siku hizi mnapenda Kutatua Watu Marinda? Nani kawafundisha Dhambi hii Tamu?
balaa hiliSwala lakulawiti limekua janga kwa Taifa letu juzi tumewabana wanafunzi watatu ambao ni Drs la 6,3 na 4 wakiwa wanafanyiana huo mchezo baada ya kuwabana kila mmoja amesema kuwa amefundishwa na kaka ake kila ikifika usiku wakati wakulala lazima wafanye huo mchezo.
Aiseeee, inasikitisha Sana Tu, Vijana wa mkoa wa Kilimanjaro Aswa Wa Wilaya ya ROMBO, Vijana Ni Walevi kupita Maelezo, kule nguvu KAZI ya Vijana Akuna kabisa, Saa 11 Alfajiri Kijana keshalewa POMBE, Mungu Wanusuru Mashemeji Zangu Wa kichaga,Swala lakulawiti limekua janga kwa Taifa letu juzi tumewabana wanafunzi watatu ambao ni Drs la 6,3 na 4 wakiwa wanafanyiana huo mchezo baada ya kuwabana kila mmoja amesema kuwa amefundishwa na kaka ake kila ikifika usiku wakati wakulala lazima wafanye huo mchezo.