bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 1,213
- 2,938
Sisi wengine maskini tusiokunywa pombe na hatupendi wanawake ulevi wetu ni movie tu, series zangu kali za wakati wote ni hizi hapa chini.
1-Game of Thrones.
2-Vikings.
3-Into the bad land.
4-Spartacus
5- Snowfull na Black Mafia Family.
Weka zako na wewe mwanetu tupeane na vigongo vipya vya kucheki pia.
1-Game of Thrones.
2-Vikings.
3-Into the bad land.
4-Spartacus
5- Snowfull na Black Mafia Family.
Weka zako na wewe mwanetu tupeane na vigongo vipya vya kucheki pia.