Ulianza kujamiiana ukiwa na umri gani?

Ulianza kujamiiana ukiwa na umri gani?

Haijawahi kutokea na haitawahi kuwa kweli!

Kama ulijitahidi sana kwa akili zako mwenyewe basi ni miaka 18, la...ni akili za wazazi wa geti kali ambao na wenyewe hata wangejitahidi vipi, usingevuka 21.
Haijawahi kutokea na haitawahi kuwa kweli!

Kama ulijitahidi sana kwa akili zako mwenyewe basi ni miaka 18, la...ni akili za wazazi wa geti kali ambao na wenyewe hata wangejitahidi vipi, usingevuka 21.
Au sio?
 
Mimi nimeanza ngono nikiwa na miaka 21 sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kutojichanganya na makundi yasiyofaa.

Muda huo nilikuwa nashuhudia vijana wadogo zaidi yangu wakizichakata.

Mwanamke wa kwenda kulala naye ile naingiza tu hata sijui ilikuwaje nikajikuta nshamaliza, na sikuweza tena mpaka anaondoka nadhani hofu ndio ilichangia.
Nimeanza leo🤣🤣🤣
 
Hahaha goddammit! So unatakaka confirmation na kurelate ili kujua kama umechelewa au umewahi ili ujue eidha uko kundi la normal au late bloomers.
 
Back
Top Bottom