Ulianzaje anzaje kuvuta sigara?

Ulianzaje anzaje kuvuta sigara?

Niwashikaji wangu wengi ata mademu wanavuta kuna sister yangu mmoja siku akanishawishi nivute nilimgomea katakata anifundishe nivute niligoma sijui kwanini? Nastaki kujifunza nishakuwa Mzee kujifunza vitu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom