Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,289 Reaction score 9,748 May 29, 2023 #21 Niwashikaji wangu wengi ata mademu wanavuta kuna sister yangu mmoja siku akanishawishi nivute nilimgomea katakata anifundishe nivute niligoma sijui kwanini? Nastaki kujifunza nishakuwa Mzee kujifunza vitu Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Niwashikaji wangu wengi ata mademu wanavuta kuna sister yangu mmoja siku akanishawishi nivute nilimgomea katakata anifundishe nivute niligoma sijui kwanini? Nastaki kujifunza nishakuwa Mzee kujifunza vitu Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app