Ulianzaje kujichua(punyeto)?

πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ Yaani ulikua umebalehe ila ukawa bado unaogeshwaπŸ˜πŸ‘πŸΎ Atari anyway umeacha?
 
Nlikuwa form 1...!!nkamuuliza mshkaji flan alonzd umri "manii nd nini?":..akanielekeza kachue na sabuni...kitakachotoka hapo nd manii...!!Hahahahaaa nikayaona ila siwez kusahau kale kafeeling kwakweli
 
Bikra imetolewa na bekitatu[emoji23]asante kwa kushare experience yako
 
We jamaa umekaa, umewaza, umeona hili ndio la kutuuliza na kusimulia.

Huwa nashangaa kuona wazee wajinga. Kumbe ni kwakuwa hata wajinga huzeeka
 
We jamaa umekaa, umewaza, umeona hili ndio la kutuuliza na kusimulia.

Huwa nashangaa kuona wazee wajinga. Kumbe ni kwi hata wajinga huzeeka
[emoji23]mkuu lbd ww ndo mjinga, mm sio mzee na uache kukurupuka,

#JF where we dare to talk openly
 
[emoji23]mkuu lbd ww ndo mjinga, mm sio mzee na uache kukurupuka,

#JF where we dare to talk openly
Acha kukurupa kijana. Hakuna mahali nimesema wewe ni mzee.

Narudia nilichosema.
HUWA NASHANGAA KUONA WAZEE WAJINGA, KUMBE NI KWAKUWA HATA WAJINGA HUZEEKA.

Kuwa makini usijezeeka ukiwa mjinga, watoto na wajukuu utabaki unasimulia punyeto...shabash😀😀😀
 
kila mtu na starehe yake, usipangie mtu cha kusimulia huna mamlaka hayo na huwez kuwa nayo
 
kila mtu na starehe yake, usipangie mtu cha kusimulia huna mamlaka hayo na huwez kuwa nayo
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hicho ulichojibu ndicho silaha ya mwisho kwa watu wa aina yako.

Naheshimu msimamo wako, upo sahihi
 
Salaam wandugu

Leo nilikuwa kwenye mishemishe za mjini kidogo ambapo ilinilazimu nisave namba za watu 6 ila simu yangu ilikufa chaji na sikuwa na peni basi nikajaribu kukariri na kitu kikatiki πŸ€”πŸ€”

Juzi jmosi nimecheki matokeo yangu ya chuo first semester nimekuta mabanda tu na nilizima moto siku 2 tu kabla ya pepa nasomea IS kama huijui google ipo πŸ€ͺ A = 4 B+ = 2 loooh

A short story:
puchu nilianzaga class 5 piga we hadi form 3 hapo akili zilikuwa zinachaji balaa nikawa wa 4 terminal f3 f2 nilipiga 1.7 πŸ€”

Ila kwanxia term ya 2 f3 niliseize mpaka term ya 2 f4 ila sikuwahi kufeli o level kama kipindi hicho loooh yaani nilikuwa nakuwa kwenye top 15 ya mwisho yaani kwanzia chini mock f4 nikapiga 2.20 πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯😒😒😒 wa kwanza alipiga 1.10

Daah aseee iliniuma sana basii ile likizo fupi ya o level june kwa vile nilikuwa na stress nikaanza rasmi puchu na msuli narudi xcul nikanza ku improve randomly nakumbuka mtihani wa mwisho b4 pepa nilitusua 1.16 ila necta 1.13 wa kwanza alipiga 1.11 nikawa wa 2 πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Naingia a level pcm nika stopp puchu kabisa kwa 2 years eti nifocus kwenye masomo aseee hio miaka 2 nilifeli kama mbwa koko 😭😭😭😭 ni div 0 tu daah kidogo nifukuzwe shule basi bana likizo ya december kwenda jan ya form 6 nikashtua kidogo mara 8 ili kupoteza mawazo 😁😁 tamu sana hii kitu

Narudi shule ile mwezi wa 2 na 3 nikaona improvement daa Mungu si Athuman nikapiga 2 yangu safi 😁😁


Sasa nipo chuo napiga puchu kama kichaaa ila nashangaa mbona uwezo wangu wa kufikiri na kukariri unaongezeka πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Lesson of today pigeni puchu wanangu inasaidia sana ubongo ila usisahau kulala vizuri


Kwaherini 🀐🀐🀐🀐🀐
 
Nmeishia apo kweny looh nkajsemea one man down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…