Ulianzaje kujichua

Wala haifanani na kujichubua ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Juzi mwandishi aliandika uzi wa maan kabisa.......tukajua mtu wa maana kabisa(in mwijakuz voice)
Uzi wake wa juzi ulisema jinsi alivyogombea ubunge......
Nalia kwa uchungu kuona mgombea ubunge anaulizia punyeto huku

KIUKWELI SISI WAPIGA KURA TUMEFADHAIKA NA TABIA ZA MBUNGE WETU MTARAJIWA
 
singependa uwe mpiga kura legelege bana lazma uwe na afya timamu kila mahali. sio kula kula kila kitu ukiambiwa ni dawa ya madhara ya tamaa zako za kujichua unabugia tu

bay the way part two, three na four
ya ulicho kisema kuhusu jituhada zangu kisiasa kule jukwaa lingine ipo tayari stay tuned
 
Lamomy hili jinga ndo mbunge?
actully,
ujinga huishia pale unapoongeza ujuzi, ufahamu au uelewa wa jambo fulani ambalo hukua na ufahamu nalo awali.

So, to me,
mtu akiwa mjinga ni fursa ya kua mwerevu

by the way madhara ya kujichua ni fedheha kwako wewe binafsi kwenye faragha zako. Nadhauri Punguza taratibu na hatimae uachane nayo kabisa. Usije laumu sikukwambia
 
Ila punyeto ni tamu jamani, yani raha utadhani magoli ya yanga...
acha kuchochea miongoni sababu au chanzo cha mafarakano kwenye ndoa nyingi hivu sasa, ilegevu huko chini ni mzigi kwa ke wenye afya na kuhitaji huduma hiyo kutoka kwa me
 
Nilishaandika sana hii kitu kwenye mada mbalimbali.

Sikufunzwa na mtu, sikushawishiwa nilijua tu mwenyewe.
Wiki ya kwanza kunyetoka aisee asikwambie mtu nilijilipua vya kutosha
wewe umeelewa mada vizuri sana,

na nadhani hapa ndio pazuri zaid pa kuanzia

wakati huo age yako ilikua ina rate wap kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…