Yes, ni hatua but sio lazima hata kidogo uingie huko
hii habari ni kama kujichubua tu,
alie juchubua ana muonea gere ambae hajajichubua na wala hajawahi kujichubua na yuko mzuri tu naturally...
na kwa hali aliyonayo alie jichubua, unaona kabisa kaathirika na wala hata hapendezi, lakini pia hawezi kuacha kujichubua amezoe, na anakomaa kabisa ati kujijubua hakuna madhara.
ndio sasa ilivyo kwa wanaojichua. Anateseka na fedheha za madhara ya kujuchua huko faragha lakini anang"ang"ana kwamba, ahh ati anapiga show vizuri tu, kujichua hakuna madhara. YAPO
kuna mtu hajawahi kabisa kujaribu kushiriki hiyo uchafu, ndio hawa amba tupo njema mbaya sana. Bahati mbaya akapita na mke wa wenyewe, mwanamke anasahau mumewe kabisa ambae ni mlegevu huku chini anaugulia madhara ya kujichua ujanani