Ulianzaje kujichua

Ulianzaje kujichua

Natamani niache ila ikifika jpili sikosi vinne nikichosa sana vitatu ila siku za week hata mudi sina
 
Narudia tena, sijui kama naeleweka vzuri au bado, HAKUNA BINADAM AMBAE HAJAWAHI KUPIGA NYETO, kwa sauti ya upole narudia

"kama yupo mwanadam hajawahi kupiga nyeto apimwe akili"

Maana haiwezekani kitu ambacho 99% ya kila mtu anakili na anajua alishawahi kukifanya alafu ww ndo hujawai kufanya so hapo nani wa tofauti ya akili kati ya waliowengi na ww mmoja??
 
nadhani ni vizuri akatishika na madhara ya kujichua, na kuacha kabisa kama alikua mshurika wa hilo. Itamsaidia dhidi ya mahangaiko ya kutafuta tiba ya madhara atakayo yapata kutokana na jambo hilo...

hata hivyo, ukweli hutisha sana na haupendekagi kabisa, hasa ukigusa upendacho:pedroP:
Ni tatizo serious sana. Nakumbuka nilikuwa napiga master kabla sijasex. Yaani naingia bafuni kwanza then narudi kupiga mashine na napiga kweli kweli hadi dem anashangaa nimemeza kitu gani. Tatizo halijanipata kwa sabab niliacha kutokana na ubize kazi nyingi ni dawa ya kuacha mastabeenz lkn pia kama mtu hujaoa tafuta mtu mnayeendana kama unapenda kupiga mashine basi utafute wa hivyo. Ni kksa kama unapenda na partner yeye anakubania lazima utaathirika.
 
Hapo Sawa....ili tujue kwamba kumbe wabunge kujichua ndiko kunakopelekea bungeni wawe vile
I want to save wananchi from hii muzigo,

msifanye iyo kitu ndugu wanaichi. Hivi kweli mnajazana kwenye maombi na maombezi na kwenye herbal clinics kwa gharama kubwa sana..

na kutafunishana mambegu sijui ya takakatka gani huko eti ni dawa, kwa mambo ambayo madhara yake yako bayana kabisa. Not fair.

Hata kama imeandikwa watu wangu wana angamia kwa kukosa maarufa, hivi kweli hayo yanayodhuru afya ya uzazi wako mwenyewe ndio kutumia maarifa vizuri kweli?

No, anza kuachana na hiyo kitu polepole na hatiamae acha kabisa, itakisaidia mwenyewe na umshukuru Mungu :NoGodNo:
 
Hakika nyeto si nzuri
 
Narudia tena, sijui kama naeleweka vzuri au bado, HAKUNA BINADAM AMBAE HAJAWAHI KUPIGA NYETO, kwa sauti ya upole narudia

"kama yupo mwanadam hajawahi kupiga nyeto apimwe akili"

Maana haiwezekani kitu ambacho 99% ya kila mtu anakili na anajua alishawahi kukifanya alafu ww ndo hujawai kufanya so hapo nani wa tofauti ya akili kati ya waliowengi na ww mmoja??
kinachotia huruma zaidi,
ni hiyo hiyo 99% wanateseka kwa kubugia kila kitu wanachoambiwa kutafuna ati ni dawa ya madhara waliyo yapata kwa kazi ya kujichua. Inatia huruma sana.....

kijana anatafuta mtoto miaka kadhaa patupu, mpaka wanaanza kutuhumiana nani mwenye tatizo miongoni mwao, kumbe wote wamekutana mafundi wa kujichua tangu huko nyuma, na madhara yameambatana nao mpaka kwenye ndoa yao:pedroP:

wenzie walioshtuka mapema na kuachana na hiyo chafu, wakigusa tu imo:KasugaYeah:
 
nilianza kwa kuuliza uliza kam wew,,wakanipa maelezo bas nkanogewa nkaanza,,, karibu mkuu👏🏾
vijana wa skuizi bana dah...

hata na hivyo tupo pamoja bila mbambanba yoyote, ila madhara ya kujichua ni fedheha binafsi ndani ya nyumba yako usifuate mkumbo au ushabiki, chukua hatua itakusaidia:NoGodNo:
 
ila baada ya io shuhuli kuijua siumizwi tena na mapenz 😂😂
 
Ni hatua za ukuaji kama hujapitia basi unamapungufu ya kimaumbile upo kwenye hati hati ya kuleft grp.
Ila hutakiwi kuendekeza unatakiwa ufanye jitihada za kuachana nayo na kuacha kuangalia picha za ngono ili uwe kijana mwema kwa nafsi yako na kwa mke wako wa baadae
Watu wameoaa na hawajaachaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom