Ulianzaje kujipanga na maisha ya ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba?

Ulianzaje kujipanga na maisha ya ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba.

Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.

1621575661107.png

 
Back
Top Bottom