Ulianzaje kukaa gheto?

safi kaka
 
Kupitia wewe tunajifunza kuwa...Pole pole ndio mwendo...Haba na haba hujaza kibaba...Great things take time.....Shukrani kwa kunipa hamasa asubuhi ya leo.
 
Haha big sana mwamba
 
Nimekaelewa haka
Mkuu..kuna siku ulilisimulia getto lako jinsi lilivyo tu..namimi kwa kupitia masimulizi yako nikalivutia picha (imagination)....I wish nipate nafasi ya kuliona getto la mwanafunzi wa chuo ambalo liko above standard.

Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litazingatiwa.
 
Daaa kwali life sio poa mi nikijipiga kwa wiki nakuw na 60k nnje na mchezo wa buku mbilimbili kila siku.kwa umri huo apo mkuu.
 
Kumbe humu wengi mnataka kuona gheto langu,? Bas kaeni chonjo picha zaja,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…