Ulianzaje kukaa gheto?

Verified[emoji457]...Napata Tabu Sana Kuwatoa
hahahhahhahahahah mkuu...nimelielewa getto lako...hebu ngoja nikuulize maswali kadhaa..

1. Imekuchukua mda gani kulifanya liwe hivyo?
2. Limekucost kama shingapi jumla ya assets zake...nataka nijifunze kitu kama hutojali.
 
Kulikuta geto la mwanachuo ...ambalo lipo standard ni kaz sana [emoji23][emoji23] mwenyew ingawa nimeanza chuo ...mwaka huu but ....cjafikia hyo level
 
Kulikuta geto la mwanachuo ...ambalo lipo standard ni kaz sana [emoji23][emoji23] mwenyew ingawa nimeanza chuo ...mwaka huu but ....cjafikia hyo level
Mkuu getto la cocastic lina kila kitu..liko standard according to yeye..ndomana hapa mimi nataka nimtembelee nijifunze mengi kutoka kwake...
 
hahahhahhahahahah mkuu...nimelielewa getto lako...hebu ngoja nikuulize maswali kadhaa..

1. Imekuchukua mda gani kulifanya liwe hivyo?
2. Limekucost kama shingapi jumla ya assets zake...nataka nijifunze kitu kama hutojali.
Iyo ni single rum, priority yangu ilikua ni kulipa kodi ndogo ili niweze kusave hela ya kujaza vitu ndani kwanza, so kodi nalipa 50k

Nimetumia mwaka mmoja kujaza vitu ndani...kwa chapchap gharama zote ni kama 1.5M japo nilikua naweka kitu kimoja kimoja mpaka kufikia hapo

Personally napenda kuishi maisha mazuri, kwahiyo huwa najibana sana, yani sana...Apa nipo kwenye mchakato wa kufunga WI-FI ili mda wote niwe nastream NETFLIX na YOUTUBE....Sipendi kutumia ving'amuzi na kwa kifupi i am not a fan of local content

Ni hayo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…