Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk maisha yangu sijawahi nunua kitu kwa mtu, kitu nikikipenda natafuta hela naingia dukani kuchukua, na ktk maisha yangu sipendi vitu vya kupewa au kuachiwa.Hapo kuna mawili ......either kaachiwa na ndugu yake .......au aliuziwa na wale last year.....yan unauziwa vyote vilivyomo geto
Picha inakuja dea, sitaki kupagawisha watu hapa.Si uwawekee picha dogo [emoji3][emoji3]
Ya sebulen au chumban? [emoji3][emoji3][emoji3]Hebu basi hilo geto na ww
Wee lako hebu nione.Gheto kama gheto [emoji536]
Mimi siishi gheto nakaa mjengoni nakumbuka kama 2019 nishawai comment uu uzi kuwa panapo majariwa 2020 naamia kwangu nikitoka home mungu nae akajibu mahombi yanguWee lako hebu nione.
Natumia kukatia matundaKisu cha nini hicho?
Hongera sana, kumbe ukiwa unapanda ngazi vile ni home? Lol.Mimi siishi gheto nakaa mjengoni nakumbuka kama 2019 nishawai comment uu uzi kuwa panapo majariwa 2020 naamia kwangu nikitoka home mungu nae akajibu mahombi yangu
[emoji3][emoji3][emoji3]bas kaa mkao wa kusubiri.Ya sebule..chumban tujse ona calvin klein zako bure [emoji3]
Shukrani ndo home pale .Hongera sana, kumbe ukiwa unapanda ngazi vile ni home? Lol.
Aseeh hongera sana tena mno.Shukrani ndo home pale .
Shukrani sana [emoji120]Aseeh hongera sana tena mno.
Asante mkuu..nimekuelewa sana mkuu...Kumbe inawezekana..asante sana kwa kunipa hamasa ya kuboresha zaidi mazingira yangu..Bless up.Iyo ni single rum, priority yangu ilikua ni kulipa kodi ndogo ili niweze kusave hela ya kujaza vitu ndani kwanza, so kodi nalipa 50k
Nimetumia mwaka mmoja kujaza vitu ndani...kwa chapchap gharama zote ni kama 1.5M japo nilikua naweka kitu kimoja kimoja mpaka kufikia hapo
Personally napenda kuishi maisha mazuri, kwahiyo huwa najibana sana, yani sana...Apa nipo kwenye mchakato wa kufunga WI-FI ili mda wote niwe nastream NETFLIX na YOUTUBE....Sipendi kutumia ving'amuzi na kwa kifupi i am not a fan of local content
Ni hayo tu mkuu
Aiseee kibish kwel [emoji3][emoji119][emoji119]Gheto nimeanza kukaa nlipoanza high school...Mzee wa mshikaji wangu alitupa nyumba ambayo haijaisha tukakarabati chumba kimoja tukahamia tukawa tunapiga Msuli humo...tunaenda kupiga msosi ma kwetu tunarudi Gheto kutoboa...after high school nikapata kazi mkoani, Mzee akanipa Godoro tu nikaanzie Maisha then akaniambia mimi na wewe are done, i never looked back since then.
mi kuona tu alivyoandka nmejikuta natetemeka[emoji23] [emoji23]. Mkuu asaa tunakatana mood za kuomba ma connection mbona
Ni kifaa gani hicho mkuu?Mkuu itafutie woofer idunde hiyo
Ni subwoofer ya aina gani hiyo mzee?Maisha ya geto rahaaa sanaaaaView attachment 1710324