Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

wakuu mimi nimemaliza chuo mwaka juzi (2019), kwa sasa nina miaka 29 nipo home bado, nimeangaika kutafuta kazi sijapata, nimesoma huu uzi nimeisi kama nimesha potea kwenye maisha, naombeni mbinu na mimi nichomoke hapa home nikapange wakuu??
Tema mate chini mwana, umepoteaje kimaisha? Watu tumekuzidi umri na still tupo hm, kuna mzee kafia kwny nyumba ya urithi ya marehemu baba yake wakati huo na yeye alishajenga nyumba km5 hv...point yangu ni nn? Simaanishi ujibweteke kutoka hapo ulipo ila usikate tamaa ofcoz kpnd kizuri zaidi kujijenga ni ukiwa kwenu maana unakua huna majukumu mengi.... We dunduliza tu mdg mdg utachomoka mwana

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Basi mwanaume nikafunga safari mpka kwao na usafiri wangu wa boda boda,mara ya kwanza kuniona walidhani syo mwanafunzi bali boda boda tu,dah sku hii siwezi kuikumbuka katika maisha yangu kwani nilizungukwa na famila ya watu kama 15 nikiwekwa kati but sababu mke wangu nlikuwa nampenda nkakubali mimba na kuelezea future yetu ukweni hope kwa jinsi nlivyokuwa naongea walitokea kunipenda mno hasa kwenye uchambuzi wa hoja na kuwajibu kwa ustaarabu japo kuwa walikuwa wananipump niongee pumba,mwisho wa siku naambiwa una malengo gani na mwanetu kidumu nkafunguka mbaba mkwe alitokea kunikubali mno mwisho wa siku akanambia mwanangu,kwa kazi hyo ya boda boda ni hatari ngoja tuone tutawasaidia vipi watoto zetu,nikaruhusiwa kuondoka nikiwa na furaha
Wewe kweli ni mpambanaji,story yako kuna kitu nimejifunza
 
Tema mate chini mwana, umepoteaje kimaisha? Watu tumekuzidi umri na still tupo hm, kuna mzee kafia kwny nyumba ya urithi ya marehemu baba yake wakati huo na yeye alishajenga nyumba km5 hv...point yangu ni nn? Simaanishi ujibweteke kutoka hapo ulipo ila usikate tamaa ofcoz kpnd kizuri zaidi kujijenga ni ukiwa kwenu maana unakua huna majukumu mengi.... We dunduliza tu mdg mdg utachomoka mwana

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
shukran mkuu wa kunipa moyo mzee, hali ngumu sana mtaani kaka
 
Nataka niweke Tv ushauri WENU aina na inch GANI na king'amuzi cha dishi kipi kizuri?
IMG_20210226_160847_094.jpg
 
Back
Top Bottom