Tariq Mimi
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 368
- 717
Tema mate chini mwana, umepoteaje kimaisha? Watu tumekuzidi umri na still tupo hm, kuna mzee kafia kwny nyumba ya urithi ya marehemu baba yake wakati huo na yeye alishajenga nyumba km5 hv...point yangu ni nn? Simaanishi ujibweteke kutoka hapo ulipo ila usikate tamaa ofcoz kpnd kizuri zaidi kujijenga ni ukiwa kwenu maana unakua huna majukumu mengi.... We dunduliza tu mdg mdg utachomoka mwanawakuu mimi nimemaliza chuo mwaka juzi (2019), kwa sasa nina miaka 29 nipo home bado, nimeangaika kutafuta kazi sijapata, nimesoma huu uzi nimeisi kama nimesha potea kwenye maisha, naombeni mbinu na mimi nichomoke hapa home nikapange wakuu??
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app