Ulianzaje kukaa gheto?

Canal+ Decoder.
Bei 22,000/= ila kinakuja ba kifurushi Cha mwenzi. 43,000/=

Jumla Ni 65,000/=

Hapo unaangalia mpira ligi kubwa zote ulimwenguni.

Nilisahau kutumia DSTv kitambo.
Unanua kwa wakala gani,je kulipia unalilia wapi
 
Ulikosea sana kurudi nyumbani.

Mimi bado nipo chuoni Mwaka wa mwisho ila ninaishi getto, nitanunua kila kitu kadri ya uwezo, ili nikimaliza chuo nisirudi home.
Wewe tulia usichangia kitu, subiri mpaka umalize chuo ndio utoe huu ushauri wako, you are still in apprenticeship.
Ngoja wazoefu waje [emoji23][emoji23]
 
Hivi WiFi vipi kuhusu malipo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…