Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Canal+ Decoder.
Bei 22,000/= ila kinakuja ba kifurushi Cha mwenzi. 43,000/=

Jumla Ni 65,000/=

Hapo unaangalia mpira ligi kubwa zote ulimwenguni.

Nilisahau kutumia DSTv kitambo.
Unanua kwa wakala gani,je kulipia unalilia wapi
 
Getoo
20210314_191710.jpg
 
Ulikosea sana kurudi nyumbani.

Mimi bado nipo chuoni Mwaka wa mwisho ila ninaishi getto, nitanunua kila kitu kadri ya uwezo, ili nikimaliza chuo nisirudi home.
Wewe tulia usichangia kitu, subiri mpaka umalize chuo ndio utoe huu ushauri wako, you are still in apprenticeship.
Ngoja wazoefu waje [emoji23][emoji23]
 
Iyo ni single rum, priority yangu ilikua ni kulipa kodi ndogo ili niweze kusave hela ya kujaza vitu ndani kwanza, so kodi nalipa 50k

Nimetumia mwaka mmoja kujaza vitu ndani...kwa chapchap gharama zote ni kama 1.5M japo nilikua naweka kitu kimoja kimoja mpaka kufikia hapo

Personally napenda kuishi maisha mazuri, kwahiyo huwa najibana sana, yani sana...Apa nipo kwenye mchakato wa kufunga WI-FI ili mda wote niwe nastream NETFLIX na YOUTUBE....Sipendi kutumia ving'amuzi na kwa kifupi i am not a fan of local content

Ni hayo tu mkuu
Hivi WiFi vipi kuhusu malipo yake?
 
Back
Top Bottom