Ulianzaje kukaa gheto?

Asante kwa uzi huu coz hapa nlipo ndo nipo kwenye process za kuhamia geto from home, sasa tatizo mshua amenigomea kuniruhusu.. kauli aliyonipa ni kuwa "mim kama baba sitakuruhusu ila wewe fanya maamuzi yako ukiamua nenda ukiamua baki. nenda kale kesho unipe majibu.. "

kiukweli home wananitegemea kwa shughuli mbalimbali (mm ni mtoto wa mwisho) ila sema mm ninamishe zangu na naona kama vile sishiriki kikamilifu nyumbani
 
Daah, wakat naingia getto ilikuwa ni mwendo kuunga unga sana. Kwanza godoro lilikuwa sii mchezo, nilikuwa nikiona mawingu tuu angani naishiwa pozi sababu najua nitakuta getto limejaa maji km mvua itanyesha
 
Sasa mi nipo ghetto ulaya sasa story yangu mtaielewa kweli nimekuja ulaya simjui mtu hata mmoja yani ni stress ***** ila now life linasonga nzuri kuliko bongo japo bongo sikuwa na life baya ila bora ulaya bwana unaheshimika hapo bongo unaweza ukawa kichaa kichaa na bado usiteuliwe uwaziri
 
Sasa wazee wako vp mbona umesema mkwe wako tuu
 
Daah saiz si fresh lakin mkuu
Daah, wakat naingia getto ilikuwa ni mwendo kuunga unga sana. Kwanza godoro lilikuwa sii mchezo, nilikuwa nikiona mawingu tuu angani naishiwa pozi sababu najua nitakuta getto limejaa maji km mvua itanyesha
 
Geto geto kaka[emoji3] hata liwe ulaya
 
Dah..kaa nae upya mkuu umueleze atakubali..tu...huu muda wa mapambano kaka...sasa hom inakua howcome...yeye mwenyew am sure aliondoka kwao mapema tu
 
Zuri kama ni lako mkuu
 
Fanya hivyo mkuu. Ukianza kujitegemea na akili ya maisha unaipata chap. Mambo mengine yanakuja na hata heshima home.inarudi mkuu
 

Sasa kama huna kazi pesa ulikua unaazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…