yaaniAf geto[emoji848][emoji848]
Duh kwani shida nini mkuu🤔Unaniua kusema unaishi peke yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada nakukubali sana huwa unakuwa open Sana. Salute bidada!Mwaka wa 2 huu Ghetto! Nashukuru Mungu sina dalili ya kurudisha mpira kwa kipa(home). Naenjoy kupika chochote nnachopenda na kuamua mimi, mfano this weekend nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione[emoji23][emoji23][emoji23] raha sana.
Kuna siku niliamka sina pesa kabisa aisee nikatafuta kila sehemu nilipowekaga hata coins sehemu zote kabatini uvunguni dah nikapata nikanunua zangu mihogo kachumbari mixer pepsi maisha yakaendelea[emoji23][emoji23]. Na hiyo siku mother house naye akanikumbusha kulipa maji na umeme nikachoka kabisa.
Thank you mkuu! Maisha ndiyo haya hayaDada nakukubali sana huwa unakuwa open Sana. Salute bidada!
Sure mkuuThank you mkuu! Maisha ndiyo haya haya
akati tunaishi wote[emoji13]Duh kwani shida nini mkuu[emoji848]
Alooh....[emoji1787][emoji1787]Mwaka wa 2 huu Ghetto! Nashukuru Mungu sina dalili ya kurudisha mpira kwa kipa(home). Naenjoy kupika chochote nnachopenda na kuamua mimi, mfano this weekend nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione[emoji23][emoji23][emoji23] raha sana.
Kuna siku niliamka sina pesa kabisa aisee nikatafuta kila sehemu nilipowekaga hata coins sehemu zote kabatini uvunguni dah nikapata nikanunua zangu mihogo kachumbari mixer pepsi maisha yakaendelea[emoji23][emoji23]. Na hiyo siku mother house naye akanikumbusha kulipa maji na umeme nikachoka kabisa.
Aisee .kwaiyo ukajil8a ka utaniMiaka Ile AHM akiwa kashika usukani nilihama kutoka kwa mzee nikahamia kwangu. Nilikua na kitanda, godoro, shuka mbili, neti, jiko la mchina, sufuria tatu, ndoo mbili moja kuogea, moja maji ya kunywa, kabati sahani kijiko na kikombe.
Nyumba za kiswahili korido Kati chumba tatu kulia tatu kushoto. Mbele Baraza uani vyoo bafu jiko.
Nimehamia tu sijakaa sawa binti wa mwenye nyumba kanifuata bombani nikichukua maji nikaoge na kuniambia
KAKA USIFUNGE MLANGO USIKU NITAKUJA . Aroo sijatongoza hata jina sijamuuliza.
Kweli bwana kwenye saa sita nasikia mlango unasukumba na mtu huyu ndani ya neti Tena amenyoa.....
Watoto wakijua unagetto wanapenda sana kujileta, utasikia kinasema, jmos nakuja kwako kukutembeleaTotoz zinapishana [emoji3]
One of the best thread; nina mwezi wa sita sasa tangu nimeamsha home; nilipofika nimekomaa tuu God blesses mambo yasonga
View attachment 1918570
Naona story zimeanza baada ya kukaa kkwa ukimya mda mrefu
InaitwajeView attachment 1931167
Hi taa ina kila rangi unayoitaka
Mwaka wa 2 huu Ghetto! Nashukuru Mungu sina dalili ya kurudisha mpira kwa kipa(home). Naenjoy kupika chochote nnachopenda na kuamua mimi, mfano this weekend nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione[emoji23][emoji23][emoji23] raha sana.
Kuna siku niliamka sina pesa kabisa aisee nikatafuta kila sehemu nilipowekaga hata coins sehemu zote kabatini uvunguni dah nikapata nikanunua zangu mihogo kachumbari mixer pepsi maisha yakaendelea[emoji23][emoji23]. Na hiyo siku mother house naye akanikumbusha kulipa maji na umeme nikachoka kabisa.
Apange kama kawa watarekebisha hao wanaopajazaga
Apange kama kawa watarekebisha hao wanaopajazaga