Basi toa namba ya sister yake aolewe jemedari abaki akitafuna
Huo ndo ushauri wangu wa mwisho
Hongera sana jirani yanguMwaka wa 2 huu Ghetto! Nashukuru Mungu sina dalili ya kurudisha mpira kwa kipa(home). Naenjoy kupika chochote nnachopenda na kuamua mimi, mfano this weekend nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione😂😂😂 raha sana.
Kuna siku niliamka sina pesa kabisa aisee nikatafuta kila sehemu nilipowekaga hata coins sehemu zote kabatini uvunguni dah nikapata nikanunua zangu mihogo kachumbari mixer pepsi maisha yakaendelea😂😂. Na hiyo siku mother house naye akanikumbusha kulipa maji na umeme nikachoka kabisa.
Inaitwaje
Hii peleka kwenye kula tunda kimasikhara[emoji23]Miaka Ile AHM akiwa kashika usukani nilihama kutoka kwa mzee nikahamia kwangu. Nilikua na kitanda, godoro, shuka mbili, neti, jiko la mchina, sufuria tatu, ndoo mbili moja kuogea, moja maji ya kunywa, kabati sahani kijiko na kikombe.
Nyumba za kiswahili korido Kati chumba tatu kulia tatu kushoto. Mbele Baraza uani vyoo bafu jiko.
Nimehamia tu sijakaa sawa binti wa mwenye nyumba kanifuata bombani nikichukua maji nikaoge na kuniambia
KAKA USIFUNGE MLANGO USIKU NITAKUJA . Aroo sijatongoza hata jina sijamuuliza.
Kweli bwana kwenye saa sita nasikia mlango unasukumba na mtu huyu ndani ya neti Tena amenyoa.....
One of the best thread; nina mwezi wa sita sasa tangu nimeamsha home; nilipofika nimekomaa tuu God blesses mambo yasonga
View attachment 1918570
Raha zaidi usiwe na demu permanent au hata kama unae basi awe anakuja kwa ratiba/taarifa anatoaukiwa na geto wageni wa kike adi raha [emoji23]
Mkuu tafuta kitu kinaitwa trunking
Uweke apo kati ya tv na meza
Waya zisikae hivyooo
Kwan Iringa sku hz kuna bhangi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]taa ya rangi
Ahame hapo,nyumbani ni nyumbani tu hata kama unaishi peke yako.Let me ask for my friend,
Kwao wana nyumba ya urithi na wazazi hawapo na inahitaji marekebisho mengi na watoto wapo zaidi ya mmoja ila wanaokaa hapo ni wawili tu yeye na sister ake.
Je ni bora akapange gheto au arekebishe nyumba yao akae hapo hapo ? Na kufanya marekebisho makubwa huku amepanga ni changamoto maana kwenye kupanga ataanza upya vitu vingi.
Faida ya kukaa hapo kwao ni gharama hazitakuwa kubwa za kodi kila mwaka, lakini hasara hana uhuru as wanafamilia wanaweza kuja saa yoyote.
Mna mshauri nini mtu wa aina hii wadau wa maghetoni[emoji1320][emoji1320]?
Kumara korogwe
We ukishaolewa ndo utatoka nyumbn. Mageto tuachie masela[emoji12]Nilishatia nia nikifikisha miaka 25+ najipanga,Allah anifanyie wepesi....japo mama hataki[emoji16]
Hapendi kwa sababu we wa kikeNapenda kujitegemea[emoji23],mama hii kitu hapendi kabisa
Mkuu hv ni kamara gani nzuri kukaa yani hakuna matukio ya kukabwa mana nilipo Sasa ni mabibo uku dah vibaka wengi sana ukuHapana,nipo mbali napo,kuna mdau kaweka no hapo juu
Kumara korogwe kumetulia japo sijaishi sanaMkuu hv ni kamara gani nzuri kukaa yani hakuna matukio ya kukabwa mana nilipo Sasa ni mabibo uku dah vibaka wengi sana uku