Ulianzaje kukaa gheto?

Ila msifanye haraka kutoka home kama hujakaa vizuri kisa pressure za watu wa nje. Nakumbuka nilivyorudi kutoka mihangaikoni kwasababu ya ugeni nilifikia home. Walinzi na watu wengine wakaanza maneno sasa hivi nawapelekea magari waoshe!
Ila msifanye haraka kutoka home kama hujakaa vizuri kisa pressure za watu wa nje. Nakumbuka nilivyorudi kutoka mihangaikoni kwasababu ya ugeni nilifikia home. Walinzi na watu wengine wakaanza maneno sasa hivi nawapelekea magari waoshe!
Ni kweli bablai lakini kama una maakili ya kuwaza fasta na unaona om hakusomeki aise ni bora utembee tu ukapange hata geto la 30k kwa mwezi yapo mengi tu kama om panasomeka kuna mamiradi ya familia unaeza chill kimtindo ..lakini kama kijana ana mika kuanzia 27 kuendelea akikaa om aise namuona boya sana aise ..japo siyo ujanja kusepa om ila ni muhimu kuwazia kuhusu miaka tano mbele apo.
Ni namna tu unavyoiset akili bro.
 
ts a normal thing mdada kuish geto akiwa na kazi yake either kazi binafsi or awe kaajiriwa somewhere.......
Ishu n kwa hawa ndugu ambao mda wote wako around..... Hapo kinachonijia kwa ubongo wangu n wadangaji an bila chenga, na n uhalisia.
Kiukweli bila kuwa na kipato chochote maisha ya ghetto mmh! Utakula nini, bills je? Lazima kupambana
 
Uuuuuh cc kipendhii [emoji7][emoji7][emoji7]nmekumic had naumwa, nlkua buzzy na field, ila nlipewa Ban ya 2months, yaan we acha tyuuh lol
Pole ban ya 2 months? Uliwafawanya nini mods😂 tatizo pia wewe ni kakorofi sana. Happy you're back na utulie sasa😂
 
Pole ban ya 2 months? Uliwafawanya nini mods[emoji23] tatizo pia wewe ni kakorofi sana. Happy you're back na utulie sasa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af sijajua ban ya nn, sijapewa nitify, kwa kweli now time niwe mpolee tyuuh, nimekomaah.
 
Wakuu magomeni sehemu gani pana utulivu wa kuishi Bila wasiwasi wa vibaka na wadokozi mtaani??
 
Mimi kimasihara tu,baada ya ku graduate tu nikapata kibarua SBC TANZANIA LTD tawi la Mbeya na kupanga gheto,day shift 6,750 night shift 8,600 na shift ni siku tatu tatu then unakaa jobless siku 3 kusubiri mzunguko wako,awamu ya kwanza nikaanza day shift 6,750 x 3 = 20,250. Hapo hujala,nauli ya daladala,bill ya maji,umeme na pango la nyumba na una gharama za application kusafiria interview maeneo mbalimbali mpaka nje ya mkoa pia.
Nilitamani kurudi kwa mshua bila kupenda,nilijikuta nakuwa baili mchaga na mkinga wakasome. Maisha ya gheto watoto wa mama usithubu unaweza uwe chizi wa mwili japo ubongo wako ume hold shahada ya jambo fulani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee siwezi yaan, lazima nitadusua tyuuh tena uwiiiiih.
[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hapo ndo akili inakaa sawa sasa...mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…