Ulianzaje kukaa gheto?

Tumalizie basi
 
Kiukweli bila kuwa na kipato chochote maisha ya ghetto mmh! Utakula nini, bills je? Lazima kupambana
Na ukisubiri mpaka upate hiko kipato utachelewa pia,binafsi naamini sana katika kujilipua. Jilipue tu huko kitaa kapange, tena kapange mbali kabisa na home,ikibidi hama mkoa kabisa,hayo mengine yatafahamika mbele ya safari.
 
Ukiwaza hivi hutoboi....na mawazo haya yanakuja ukiwa hom..ila nenda geto uone utakavyojua kusaka hela...
Uko sahihi,ukiwaza sijui nitaishije hutoboi leo wala kesho,jilipue tu itafahamika huko mbele ya safari.

Naamini huwezi kubali kufa njaa wakati una nguvu,akili,maarifa au ujuzi wa vitu mbalimbali.
Fanya lolote halali siku ipite then ukishiba ndipo ujipange upya.
 
Na ukisubiri mpaka upate hiko kipato utachelewa pia,binafsi naamini sana katika kujilipua. Jilipue tu huko kitaa kapange, tena kapange mbali kabisa na home,ikibidi hama mkoa kabisa,hayo mengine yatafahamika mbele ya safari.
Achana na Mkoa, Watu tulihama nchi kabisa ili kukwepa kurudisha mpira kwa kipa
 
Kabisa mkuu..na kuna mda utashangaaa ume unlock vitu kibao ulivyo kua navyo lakin hukua unavijua before...ogopa sana ugali wa bure[emoji3]
 
Kabisa mkuu..na kuna mda utashangaaa ume unlock vitu kibao ulivyo kua navyo lakin hukua unavijua before...ogopa sana ugali wa bure[emoji3]
[emoji28]Kabisa yani kuna vitu unaweza ukahisi haviwezekani ila ukiingia kitaa utaona namna ambavyo hakuna kitu kinachoshindikana.
Ugali wa bure unadumaza akili ya mtafutaji.

"Tushasukuama sana milango iliyoandikwa VUTA,na ikafunguka",FA,2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…