lwidia2k
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 618
- 1,287
Wote ndio tuliko anzia, we pambana tu. Halafu kujaza vitu gheto usisubir mpka upate hela nyingi. We jichange tu hivyohivyo.Wenye stoo tuna coment wapiView attachment 1969123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ndio tuliko anzia, we pambana tu. Halafu kujaza vitu gheto usisubir mpka upate hela nyingi. We jichange tu hivyohivyo.Wenye stoo tuna coment wapiView attachment 1969123
Wenye stoo tuna coment wapiView attachment 1969123
Chai Hii kweupe..Miaka Ile AHM akiwa kashika usukani nilihama kutoka kwa mzee nikahamia kwangu. Nilikua na kitanda, godoro, shuka mbili, neti, jiko la mchina, sufuria tatu, ndoo mbili moja kuogea, moja maji ya kunywa, kabati sahani kijiko na kikombe.
Nyumba za kiswahili korido Kati chumba tatu kulia tatu kushoto. Mbele Baraza uani vyoo bafu jiko.
Nimehamia tu sijakaa sawa binti wa mwenye nyumba kanifuata bombani nikichukua maji nikaoge na kuniambia
KAKA USIFUNGE MLANGO USIKU NITAKUJA . Aroo sijatongoza hata jina sijamuuliza.
Kweli bwana kwenye saa sita nasikia mlango unasukumba na mtu huyu ndani ya neti Tena amenyoa.....
[emoji16]jamani,kwa babu mbali,hapa hapa[emoji116]We mwanamke una roho yangu asee, kila nkiona comment yako kuna ktu huwa nafikiria[emoji12] hebu njoo pm au twende kule kwny memes kwa babu
Mimi ndo naenda kuanza maisha sasa natoka mbeya naingia dsm kusoma IFM sasa nawaza maisha naenda kuyaanzaje maana hostel gharama zake naona ni kubwa tofaut na kupanga bei ya chumba cjui ntapata cha shingap maana uchum nao hauko stable ani hamna kipind nna mawazo kama hiki kwaio mwenye uzoef kidg anijuze huu uzi nimeanza nao toka juu ila kuna vitu nimejifunza ikiwa tyr ntapata getto tatzo lipo hapa mwanzon an

Utakaa kigambon kiongozMimi ndo naenda kuanza maisha sasa natoka mbeya naingia dsm kusoma IFM sasa nawaza maisha naenda kuyaanzaje maana hostel gharama zake naona ni kubwa tofaut na kupanga bei ya chumba cjui ntapata cha shingap maana uchum nao hauko stable ani hamna kipind nna mawazo kama hiki kwaio mwenye uzoef kidg anijuze huu uzi nimeanza nao toka juu ila kuna vitu nimejifunza ikiwa tyr ntapata getto tatzo lipo hapa mwanzon an
Duh so inspirational kaka[emoji119]Kama unataka kutoka home, pitia hii thread ya mwanadada wa
Duh so inspirational kaka[emoji119]Kama unataka kutoka home, pitia hii thread ya mwanadada wa
Naweza pata kwa shingap chumba mkuuNenda Kigamboni bei chee
Sawaa sasa suala la chumba ndo kidg lanipa mchecheto maaa naenda fikia kwa ndg ambae kapanga pia sasa sitaki niwe mzigo mkuuUtakaa kigambon kiongoz
Duuh msouth huyo alinarikiwa kidg kujipanga kwenye suala la assets ndg ndgKatisha sana
kuna una nia kweli inabidi uzame pande za kigamboni huko ndio wana wengi wa IFM wamepanga, ila mwanzoni inabidi ujibane kidogo kama huna bajeti ya kutosha baada ya boom kadhaa utaweza kusimama. Vinginevyo anzia hostel usome mazingira ya mji then ndio uingie mtaaMimi ndo naenda kuanza maisha sasa natoka mbeya naingia dsm kusoma IFM sasa nawaza maisha naenda kuyaanzaje maana hostel gharama zake naona ni kubwa tofaut na kupanga bei ya chumba cjui ntapata cha shingap maana uchum nao hauko stable ani hamna kipind nna mawazo kama hiki kwaio mwenye uzoef kidg anijuze huu uzi nimeanza nao toka juu ila kuna vitu nimejifunza ikiwa tyr ntapata getto tatzo lipo hapa mwanzon an
Sawaa sasa suala la chumba ndo kidg lanipa mchecheto maaa naenda fikia kwa ndg ambae kapanga pia sasa sitaki niwe mzigo mkuu
anaweza atage yai humu yaani akang'ang'ania mpk alitotoe 😅😅😅LIVE. LAUGH. FOCUSView attachment 1710337