Ulianzaje kukaa gheto?

Chai Hii kweupe..
 
Mimi ndo naenda kuanza maisha sasa natoka mbeya naingia dsm kusoma IFM sasa nawaza maisha naenda kuyaanzaje maana hostel gharama zake naona ni kubwa tofaut na kupanga bei ya chumba cjui ntapata cha shingap maana uchum nao hauko stable ani hamna kipind nna mawazo kama hiki kwaio mwenye uzoef kidg anijuze huu uzi nimeanza nao toka juu ila kuna vitu nimejifunza ikiwa tyr ntapata getto tatzo lipo hapa mwanzon an
 

Mwanangu ukiwa na hesabu nyingi kichwani, hutoboi, kama unataka kutoka home to start afresh beba ulichonacho, nenda kayaanze
 

Nenda Kigamboni bei chee
 
Utakaa kigambon kiongoz
 
kuna una nia kweli inabidi uzame pande za kigamboni huko ndio wana wengi wa IFM wamepanga, ila mwanzoni inabidi ujibane kidogo kama huna bajeti ya kutosha baada ya boom kadhaa utaweza kusimama. Vinginevyo anzia hostel usome mazingira ya mji then ndio uingie mtaa
 
Sawaa sasa suala la chumba ndo kidg lanipa mchecheto maaa naenda fikia kwa ndg ambae kapanga pia sasa sitaki niwe mzigo mkuu

Yaaani naona hapo hautachukua hata wiki 2 [emoji1][emoji1] kwenye bumu pale kaanga bajeti moja matata, na usiwe na tamaa ya kuwa na kila kitu la sivyo unalala njaa [emoji23][emoji23] tafuta Godoro kakaa, ila godoro kidogo liwe kama super loaf, mana usije kunua kidogoro baadae uje kunua tena, tafuta hata 6*4 ili kutunza space ya chumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…