Ulianzaje kukaa gheto?

kwanza sijawahi penda maisha ya bweni au hostel toka naanza form1..advance nilikua shule ya bweni ila sikua nakaa huko zaidi ya kipindi cha mitihani..kuna jamaa alikua mtaani nilikua nastay nae huku nikipiga mishe mbalimbali za pesa..Baada ya kutoja jkt kwa mujibu na kuchaguliwa chuo pendwa hapa tz kwa Makonda nikapangiwa hostel..kumbuka muda huo nachukia hostel kinoma.Basi nikajipiga bum langu la kwanza nikajipeleka ushuani kwa watoto wa aru na ud wanaelewa(savei) mana kodi bei mbaya..siku ya kwanza nililala chini..ya pili nikaweka godoro,kitanda,gesi,feni,kisabufa cha kuzugia na makorokoro mengine..nilistay pale mpaka mwaka unaisha..mwaka uliofata nikahamia sehemu nyingine huko nikaweka kila kitu cha ndani mapaka washikaji wakawa wanasema we jamaa utafikiri mfanyakazi wa benki wakati bum wote sawa na world cup walikua wanacheki kwangu..kiufupi nilikua mjanja sana kutafuta pesa ili nisiguse kabisa hostel na sitarajii kurudi home
 
Kwaiyo bado umetulia hom? [emoji3][emoji3]
Dah acha asee! Masista walinisihi sana nijipange zaidi mi nikawaambia mi mwanaume acheni nikajifunze life dah hata miezi miwili haikuisha nikaona hapa bora ninyooshe mikono juu nikajipange zaid[emoji1]
 
Dah jamaa umetisha sana....geto kama mfanyakaz wa serkalin anaelipwa laki 8
 
mkuu hapo kwenye avatar ndo wewe mkuu?? naona mtoto wa kike kanona aseeeeeeeeee , , ,ila sio mbaya tutambulishe japo ...
 
Mkuu ww umeona mtoto tu...[emoji16]

Uyo sio mim kaka...mwana anaitwa kayg ni msouth..
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 okayy kijana basiii mm nkajuaaaa ww na shemelaaaaaaaaa vile
 
Niliamua mwenyewe kwamba nahama, alafu sikusema. Nikanunua Kila Kitu ndani kwa siku moja ( nilikuwa na hela). Nikaa kama mwezi , nikasikia nyumbani kinawaka Mama hadi wajomba pia zangu wanawaka. Nakawapigia simu mmoja moja nikawaambia Mzee wangu hakuwa na Shida ila Mama ilikuwa taabu nakumbuka hadi nilimwambia " aah! sasa hivi nina marafiki wengi kuliko mwanzo, nina Marafiki wa Kiume na Kike pia alafu Mamaangu sasa hivi nakosa uhuru hapo kwako kuna mambo mengine siwezi kufanya nikiwa hapo ila nikiwa peke yangu nafanya. Najua hata hapo kwako siwezi kukaa milele, nitatoka na huu ndio muda wa kutoka" Mama akacheka akaniambia basi usipende kupikapika saana muda mwingine uwe unakula kwa Mama au Baba lishe ( hili neno lake nililing'amua baadae sana).
Maisha yanaendelea, haki nimejifunza mambo mengi huku kitaa!
 
Embu fumbua hilo fumbo mkuu..mbona tata [emoji3][emoji3]
 
Kaka ulitisha...ulkua upo full ikawa rahis pia..
 
Alimaanisha nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…