Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mimi kimasihara tu,baada ya ku graduate tu nikapata kibarua SBC TANZANIA LTD tawi la Mbeya na kupanga gheto,day shift 6,750 night shift 8,600 na shift ni siku tatu tatu then unakaa jobless siku 3 kusubiri mzunguko wako,awamu ya kwanza nikaanza day shift 6,750 x 3 = 20,250. Hapo hujala,nauli ya daladala,bill ya maji,umeme na pango la nyumba na una gharama za application kusafiria interview maeneo mbalimbali mpaka nje ya mkoa pia.
Nilitamani kurudi kwa mshua bila kupenda,nilijikuta nakuwa baili mchaga na mkinga wakasome. Maisha ya gheto watoto wa mama usithubu unaweza uwe chizi wa mwili japo ubongo wako ume hold shahada ya jambo fulani.
Hahaha mwana sbc bila shaka ulipanga ghetto ikuti au nzovwe.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
mi baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu
Kweli wewe dadapesa

Kongole kwako
 
IMG_5315.jpg

Crean.
 
Back
Top Bottom