Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
hakuna watu wagumu kuoa kama wewe dah!!
hakuna watu wagumu kuoa kama wewe dah!!
Oa sasa mkuu
Wew huowii
Hahaha mwana sbc bila shaka ulipanga ghetto ikuti au nzovwe.Mimi kimasihara tu,baada ya ku graduate tu nikapata kibarua SBC TANZANIA LTD tawi la Mbeya na kupanga gheto,day shift 6,750 night shift 8,600 na shift ni siku tatu tatu then unakaa jobless siku 3 kusubiri mzunguko wako,awamu ya kwanza nikaanza day shift 6,750 x 3 = 20,250. Hapo hujala,nauli ya daladala,bill ya maji,umeme na pango la nyumba na una gharama za application kusafiria interview maeneo mbalimbali mpaka nje ya mkoa pia.
Nilitamani kurudi kwa mshua bila kupenda,nilijikuta nakuwa baili mchaga na mkinga wakasome. Maisha ya gheto watoto wa mama usithubu unaweza uwe chizi wa mwili japo ubongo wako ume hold shahada ya jambo fulani.
Nilianza hiviView attachment 1014442
akikupikia mayai hayo yenye mchuzi usirudi huku kuomba ushauri 😆😆😆[emoji16][emoji16][emoji16] lazima tuoe
nahisi kwenye bonde la nzondahakiHahaha mwana sbc bila shaka ulipanga ghetto ikuti au nzovwe.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kweli wewe dadapesami baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu
Huu uzi utanisaidia ntapoanza rasmi maisha yangu next week
HaleluyaaaNow tufikirie Mijengo mazee.. tuje tutoe na ushuhuda humu wakubwa!
Wanapona kweli humu? [emoji102]
[emoji23][emoji23]wanapona mkuu[emoji23][emoji23]
Waskufosi[emoji23][emoji23][emoji23]Tusipeane moto bana uwezo wa kupanga ninao ila kuna mambo nakamilisha kwanza mpaka mwezi wa tatu mwakani