Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Oyaaa mzee panga at your own risk. Kama unampango wa kubaki hapo hapo baada ya kumaliza college unaweza kupanga. Ila utarudi home usipange. Coz ghetto linakula hela hasa mwanzoni. Ni Bora ukomae na kitabu then ndo upange. Tulio wengi vyuoni tulipanga kwa ajiri ya kula mademu. Ukiwa hostel inakulazimu uende guest (lkn ukiwa hostel kitabu kinapanda Sana coz hakuna starehe sana, Ni msuli tu)
 
Naomba mnisaidie umuhimu wa freezer geto.... Kwa mtu ambae Hana kitanda Ila godoro pekee
Freezer inategemea na maeneo mkuu mfano. Mm Niko njombe yaani maji yabaridi unakunywa mpaka meno yanauma na hayajawekwa kwenye freezer.
Angalia kipi Cha muhimu kwa wakati na bajeti uliyonayo. Then amua Cha kufanya. Vyote hapo vina umuhimu mkuu inategemea na wakati uliopo na bajeti yako.
Binafsi ningekushauri ununue kitanda kwanza.
Freezer Ni vitu vya kuharibika but kitanda Ni mkataba. Ulinunua huwezi nunua tena
 
Daaaahh mwana why!????? Naweza kuuliza hivyo coz umerudisha Mpira kwa kipa. But hujafeli, jipange Tena mkuu, then uhame. Usifanye haraka weka ratiba nzuri na bajeti ya kutosha ili usianze na ugumu Sana. Itakufanya u-survive hata Mambo yakiyumba
 
Daaah!!! ndo nimeanza kukaa gheto sahizi nikitokea nyumbani ambako Kuna karibu kila kitu, kwa kweli inahitaji uthubutu vinginevyo waweza rudi home tena aiseee
Ndio kukua huko kiongozi [emoji3]
 
View attachment 2085090
Kila kitu ni hatua....
Pesaa inahitaji nidhamu sana
Itunze...ununue vitu vyako mwenyewe
Kuna siku sote humu tutakua tunasehemu yakupaita nyumbani
Daahh Safi Sana mkuu, pesa inahitaji nidhamu aisee I appreciate your struggles. Nimekubali mkuu, kwasababu umeanzia chini kabisa yaan from the grass level. Kutoka kulalia mkeka mpka ghetto kukaa sio kitoto. Hii ndo real motivation.
Nimrkuheshimu Sana coz mm nilianza na kitanda, godoro, sabufa, vyombo, jiko la gesi na laptop. Ko haikua mbaya Sana. Saiv Niko na chumba na sebule nimeongeza tv na sofa. Ingawa nawekeza kwenye miradi.
 

Nakubar jeshi..let us fight mzee
Vitu vizuri vinajasho sana mkuu
 
hahaha unajua nini ,wengi wananunua hivyo vitu ulivyovitaja ili akiingiza demu amsfiie na iwe rahisi kuliwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mfano

"mmh kwako pazuri"
"Mmh unaish pekeako na wakat unakila kitu "
"Niachie bas ufunguo niwe nakuja kukufanyia usafi"

wakuu niendelee au [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nimeingia kwenye hii trap wakuu
 
Wakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Dogo kaa hostel pale kula kule messini kuna msosi misafi sana achana na mambo ya geto

Daaah DIT enzi zetu kilikuwa kuna misosi mikali mikali chai za maziwa ,mayai,mikate bluebanda ugaki laini saafi nyama kubwa kubwa ,kabeji wali ndizi mbivu na karanga noma sana

Kulikuwa mashine inatoa maji messini pale

Bila coupon hupati msosi[emoji2]
 
Kwa hiyo mkuu nisikae geto kisa msosi?
 
Sawa[emoji2]
Wikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer

Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .

Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice

Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh

Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…