lwidia2k
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 618
- 1,287
Mkuu hata mm ndio kilichonikuta yaan imeniumiza hyoooMimi nimeingia kwenye hii trap wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata mm ndio kilichonikuta yaan imeniumiza hyoooMimi nimeingia kwenye hii trap wakuu
Safi Sana kakaWikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer
Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .
Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice
Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh
Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]
Nipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.ukiwa peke yako na kama una support ya ndugu sawa utatoboa, ila kama ndio boom kila kitu support ya ndugu ni chenga basi mcheki mwanao mwenye itikadi kama zako( yan chuo kimoja na course moja) ili mpange, mkiwa wawili cost huwa zinapungua
kuhusu eneo ni nyie tu, Either magomeni, kigamboni au Manzese
Mkuu sitaki kurudi home tena.Kuhusu mambo ya bebezi sijatilia maanani kihivyo,bado naweza piga msuli.Oyaaa mzee panga at your own risk. Kama unampango wa kubaki hapo hapo baada ya kumaliza college unaweza kupanga. Ila utarudi home usipange. Coz ghetto linakula hela hasa mwanzoni. Ni Bora ukomae na kitabu then ndo upange. Tulio wengi vyuoni tulipanga kwa ajiri ya kula mademu. Ukiwa hostel inakulazimu uende guest (lkn ukiwa hostel kitabu kinapanda Sana coz hakuna starehe sana, Ni msuli tu)
😂😂Hapana mkuu,sitaki kurudi home tena.Wewe unataka kukaa geto kisa mademu sio!?
Dah safi sana nampango nitafute friji ndogo asee napenda sana maharage shida kupika kila siku changamoto, Umenipa wazo Moja kubwa sana nkipata friji weekend nkiwa home napika mazaga hayoWikiendi nikiwa free nachemsha maharage kilo mbili ,nyama kilo 3/4 hivi kuna visado naweka humo hayo makitu yanakaa kwenye freezer
Kazi yangu ni kusaga nyanya na brenda na kukata vitunguu ,hoho na karoti naunga mboga zangu safi nakuka wali au ugali .
Freezer naweka juice mimi ni mdau wa fresh juice
Kikubwa napenda sana misosi ya kupika home fresh
Huko kwenye vibabda vya mama ntilie tunakishwaga sana makorokocho na maexpaya [emoji1787]
[emoji2][emoji2]kwann kiongozi?Hahahahaj hapo hama fasta[emoji2]
Ishi magomeni, kigamboni utataabika usafiri nadhanNipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.
Wapi nafuu kati ya magomeni na kigamboni katika kodi na usafiri hadi dit?
[emoji23]mzee kwann nihame?Hapo hama mkuu [emoji1787]
Kama mwenyewe nenda magomen karibia na manzese(njia hyo yanapopita mwendokasi) nauli bei Chee ila ukitaka kigamboni daily utapiga Anza kanoon au laa ulazimishe kupanda gari mbili zisizo na lazima.Nipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.
Wapi nafuu kati ya magomeni na kigamboni katika kodi na usafiri hadi dit?
Mkuu mwendokasi nauli si 650.Nikipiga Anza kanoon bei ngapi?Kama mwenyewe nenda magomen karibia na manzese(njia hyo yanapopita mwendokasi) nauli bei Chee ila ukitaka kigamboni daily utapiga Anza kanoon au laa ulazimishe kupanda gari mbili zisizo na lazima.
[emoji16]hahaha unajua nini ,wengi wananunua hivyo vitu ulivyovitaja ili akiingiza demu amsfiie na iwe rahisi kuliwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mfano
"mmh kwako pazuri"
"Mmh unaish pekeako na wakat unakila kitu "
"Niachie bas ufunguo niwe nakuja kukufanyia usafi"
wakuu niendelee au [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama unatokea kigamboni feri itakubidi kulipia pantoni mara ya mwisho me kupanda ilikuwa 200 ukishuka kwa pantoni mpaka kuikamata dit kutembea ni kihatua kidogo njia ni mbili Lakin Moja ya kutokea DMI,lango la jiji, Samora, kisutu then uikamate DIT alafu nyingine ni ya kupitia posta mpya ambayo ndo ndefu zaidi. Kama utapita darajani nauli hadi machinga complex ni 500 Sijui 600 ukifika machinga utapanda gari zinazoenda posta mpya au mnazi m1 apo nauli 400, So hadi hapo umeelewa wap nafuu kwakoMkuu mwendokasi nauli si 650.Nikipiga Anza kanoon bei ngapi?
[emoji23][emoji23]wanaishi na mabaharia wao Lakin kingine nikisema nisilete manzi yng si wataniona me namna gani vipi (napulizwa nn)We si unaona mambo wanayo fanya hao madada [emoji16]
Sawa mkuuIshi magomeni, kigamboni utataabika usafiri nadhan
Magomeni au Manzese gari zinakuacha pale fire au lumumba unajongea mdogo mdogo mpk chuo, kuhusu Kigamboni mdogo mdogo ni kutokea pale feri ( kuna vyumba vipo sio mbali na feri kwa kigamboni) hivyo kama vipindi vya asubuhi gari muhimu ili kuwahi (300 tu) na 200 pantoni ila kurudi ni wewe tu,Nipo peke yangu na support ya ndugu ninayo.
Wapi nafuu kati ya magomeni na kigamboni katika kodi na usafiri hadi dit?
Magomeni au Manzese gari zinakuacha pale fire au lumumba unajongea mdogo mdogo mpk chuo, kuhusu Kigamboni mdogo mdogo ni kutokea pale feri ( kuna vyumba vipo sio mbali na feri kwa kigamboni) hivyo kama vipindi vya asubuhi gari muhimu ili kuwahi (300 tu) na 200 pantoni ila kurudi ni wewe tu,
kuhusu bei, kote inategemeana na quality ya chumba, kadri chumba kinavyokuwa classic ndio bei inapanda ( tiles, fensi, gypsum, aluminium n.k) ila hivi vya kawaida 30k mpaka 50k kwa mwezi
Kuna uhakika wa chumba karibia na feri?Maana hizo sehemu zinagombewa kwakua kila mtu anataka unafuu au imekaaje?Magomeni au Manzese gari zinakuacha pale fire au lumumba unajongea mdogo mdogo mpk chuo, kuhusu Kigamboni mdogo mdogo ni kutokea pale feri ( kuna vyumba vipo sio mbali na feri kwa kigamboni) hivyo kama vipindi vya asubuhi gari muhimu ili kuwahi (300 tu) na 200 pantoni ila kurudi ni wewe tu,
kuhusu bei, kote inategemeana na quality ya chumba, kadri chumba kinavyokuwa classic ndio bei inapanda ( tiles, fensi, gypsum, aluminium n.k) ila hivi vya kawaida 30k mpaka 50k kwa mwezi
Kabisa mkuu...unahitaji kujilipua